Nini tafsiri ya maneno haya kwa Kiswahili?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
2,119
Points
2,000

Farolito

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
2,119 2,000
PARAMEDIC(S) = WATALAMU WA MAABARA. Haijalishi attentant ,assistant, wala technicians
Mkuu asante kwa maelezo ila ukisoma kwa kiingereza wanasema huyu ni mtaalamu wa afya anayehusika na huduma za dharura na hasa katika gari za wagonjwa(ambulance).Je ni sawa?
 

Forum statistics

Threads 1,344,244
Members 515,354
Posts 32,812,521
Top