Tafsiri ya maneno haya ya kizungu

Tafsiri ya maneno haya ya kizungu

Kumar Singh

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,064
Reaction score
2,439
Katika pita pita zangu nikakutana na haya maneno ya kiingereza ila yamenitoa K.O nikaona hadi kizunguzungu hatari!! anaejua kiswahili fasaha cha haya maneno anisaidie:

Ecstatically
Flabbergasted
Prestidigitation
Alluding
Innuances
Afforementioned
Ramifications
Unequivocal

Bila kusahau kiswahili fasaha cha neno SURFACE AREA.
 
Ramification ni kuweka Rami kwenye barabara ya vumbi!!!
 
Kimya hiki inaonesha wengi yametutoa KNoCKOUT
 
Back
Top Bottom