fungi6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 292
- 261
Nimekuwa nikizunguka sehemu tofauti tofauti.
Nikaja kugundua kitu kibaya mno hivi sisi Watanzania au watu weusi ni specimen au tupo laboratory tunafanyiwa uchunguzi maana our id, imekuwa ikifanya kazi pasipo tegemezi la ego, yaani tumekuwa watu wakufanya tu kwa kukurupuka bila kuwaza ni nini tunafanya and tunakuja jua majibu kumbe chanzo ni walio nje wametufanya tuishi hivi nikawaza hivi kwa nini
1. Kwetu vivuko tunaviita zebra crossing ila wenye lugha kwao wanaita pedestrian crossing. Sasa na tulivyo zebra sasa mwanafunzi form 1 anaulizea na mwalimu kwenye mtihani na anajibu na anawekewa tick, dah
Embu sasa na wewe eka neno ambalo huku ni neno kwao wenye lugha hawalitumii?