42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,811
Nimekaa nimewaza, kuliko kukaa bure hiki kipindi cha Corona, its better hata nijifunze lugha mbili au tatu za Kimataifa.
Lugha ya kwanza iliyokuja kichwani ni Deutsch (Gernam). Na nimeshaanza kujifunza since weekend hii.
Baada ya Kijerumani nafikiria kujifunza Kifaransa, then baada ya hapo nitachagua box language moja (Chinese, Japananese or Korean).
Nakaribisha mawazo kuhusu best way ya kujifunza maana kwa sasa natumia YouTube Channels ambazo zinafundisha hizo lugha...