Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,773
Tangu waandishi wa habari na watangazaji kupotea "disappeared in the thin" na kutosikika neno Ithibati likachipuka ghafla hasa wiki hii.
Licha ya utaalam wangu na uzoef Katika lugha hii kuntu sijawahi kulisikia nadhani limeanza kusikika na kujulikana wiki hii.
Maneno mengine mageni kuchipika ghafla na kuanzishwa kwenye Kiswahili kama uchwara lissu kulianzisha dikteta uchwara na ponjoro gwajiboy akijibu mapigo ya mbunge WA kinondoni.
Senior JF/JA linguistics expert