Kwanini ilitokea kufanana kwa baadhi ya maneno ya Kiingereza na Kiswahili?

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,111
2,000
Habari...

Yawezekana nisieleweke hapo juu kwenye heading lakini vyovyote utakavyoiweka sawa tu ilimradi utanielewa kwenye maelezo

Unakuta neno la Kiingereza linakuwa na tafsiri (definition) zaidi ya moja na neno hilohilo ukienda kwenye Kiswahili chake unakuta maana (definition) zaidi ya moja (hasa mbili) kwa neno moja

Sasa tuseme hiyo ni kawaida lakini ninachoshangaa mimi ni hiki;
Inakuwaje definition mbili tofauti kwa neno moja la Kiingereza zije ziendane/zifanane (yaani zimaanishe kitu kimoja kilekile) sawa na definition mbili nyingine tofauti za neno moja la Kiswahili?

Natoa mifano miwili hapa

1.FAST- FUNGA
(a)fix or attach firmly
-shikiza kwa uimara
(b)abstain from food and drink from dawn to dusk, ...
-jizuia kula na kunywa tangu mawio mpaka magharibi, ...

2.CAMEL-NGAMIA (NG'AMIA)
(a)large, long-necked ungulate mammal of arid country, ...
-mnyama mkubwa mwenye shingo ndefu na kwato pana anayetumika kwa usafiri sehemu za jangwani
(b)an apparatus for raising a sunken ship, ...
-zana maalum ya kuvutia meli inayozama

Nawasilisha
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,148

CIRCUS==== Sarakasi
 
hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,111
2,000
CIRCUS==== Sarakasi
Nilimaanisha maneno yenye utata katika lugha husika (maneno yenye maana zaidi ya moja) na kisha yakitolewa ufafanuzi maneno hayo hata ukiyapeleka kwenye lugha ya pili bado utakuta yana utata na fafanuzi zake (definitions) utakuta kuna mbili zinafanana kimaana na kimatumizi na zile za lugha ya kwanza

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
So you meant words with similar double meanings/ translations in both languages, Swahili and English. I get your point now
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom