Wanyakyusa nisaidie kutafsiri hii note mtu kaachiwa

Hisha Sorel

Senior Member
Dec 27, 2017
192
140
Mtu wa karibu kaachiwa hii note, ila imeandikwa kinyakyusa, hajui kukisoma akadhani mi najua; ila mi pia sifahamu.

Masaada basi kutafsili

Ngutufwa lelo jo nkinde
Ugwise gwa bololo
Umpela fyosa ifi swigu
Unsubisi mbutolwe

umpoki gwitu twebandu
Unjosya gosa amasosi

Tuntufye kala gwitu
Bikukutufya abandumi
Gwemwenu butwa bosa

Bi kutufya ni ifya nkisu
Ni ifya munyanja fyosa
Na mumpalangala injuni
Sikukutufya gwempeli
Tuntufyekyala gwetu

Asante sana
 
Mtu wa karibu kaachiwa hii note, ila imeandikwa kinyakyusa, hajui kukisoma akadhani mi najua; ila mi pia sifahamu.

Masaada basi kutafsili

Ngutufwa lelo jo nkinde
Ugwise gwa bololo
Umpela fyosa ifi swigu

Unsubisi mbutolwe
Unjosya goswa amasosi

Tuntufyu kala gwitu
Bikukutufya abandumi
Gwemwenu butwa bosa

Bi kutufya ni ifya nkisu
Ni ifya munyanja fyosa
Ni mu mpalangala injuni
Sikukutufya gwempeli
Tuntufye kyala gwetu

Asante sana
Cc Bujibuji
 
Mtu wa karibu kaachiwa hii note, ila imeandikwa kinyakyusa, hajui kukisoma akadhani mi najua; ila mi pia sifahamu.

Masaada basi kutafsili

Ngutufwa lelo jo nkinde
Ugwise gwa bololo
Umpela fyosa ifi swigu

Unsubisi mbutolwe
Unjosya goswa amasosi

Tuntufyu kala gwitu
Bikukutufya abandumi
Gwemwenu butwa bosa

Bi kutufya ni ifya nkisu
Ni ifya munyanja fyosa
Ni mu mpalangala injuni
Sikukutufya gwempeli
Tuntufye kyala gwetu

Asante sana
Namsifu aliye juu sana
Baba wa wapole
Muumba maajabu.

Mfariji kwenye taabu
Mnyamazisha machozi yote.

Tumsifu Mungu wetu
Wanamsifu malaika
Wewe mwenye utukufu wote.

Wanamsifu na vya duniniani
Na vya baharini vyote
Hata mchana ndege
Wanamsifu muumbaji
Tumsifu Mungu wetu

Ndaga fijo👆😂😂
 
Sikijui vizur ila hapo kwenye aya ya kwanza anasema "amekutana na mwanaume mwenye mkuyenge haswaa na yupo tayar alipiwe mahari"

Kwa hiyo ndugu yangu pole sana endelea kujifukiza na uvae barakoa
 
Mkuu ulijuaje kama ni ya mapenzi? .
Na je, Mr anaelewa hiyo lugha?
Nilifikiri kumtafuta mkalimani, mwisho wa siku niliona ni kujivua nguo. Nilikaawna mwenye barua yake akaniekeza mbivu na mbichi.
 
Mtu wa karibu kaachiwa hii note, ila imeandikwa kinyakyusa, hajui kukisoma akadhani mi najua; ila mi pia sifahamu.

Masaada basi kutafsili

Ngutufwa lelo jo nkinde
Ugwise gwa bololo
Umpela fyosa ifi swigu

Unsubisi mbutolwe
Unjosya goswa amasosi

Tuntufyu kala gwitu
Bikukutufya abandumi
Gwemwenu butwa bosa

Bi kutufya ni ifya nkisu
Ni ifya munyanja fyosa
Ni mu mpalangala injuni
Sikukutufya gwempeli
Tuntufye kyala gwetu

Asante sana
Shemeji yenu (mke wangu) anatokea huko Unyakyusani. Anasema eti kuna spelling mistakes kibao hadi "note" yako inapoteza maana!
 
Namsifu aliye juu sana
Baba wa wapole
Muumba maajabu.

Mfariji kwenye taabu
Mnyamazisha machozi yote.

Tumsifu Mungu wetu
Wanamsifu malaika
Wewe mwenye utukufu wote.

Wanamsifu na vya duniniani
Na vya baharini vyote
Hata mchana ndege
Wanamsifu muumbaji
Tumsifu Mungu wetu

Ndaga fijo👆😂😂


Tuntufye = tumsifu??
 
Back
Top Bottom