Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wakuu salaam, Katika kuendelea kukumbushana vipengele mbalimbali vya lugha katika somo hili tutaangalia Mofimu na Viambishi huku tukipitia dhana ya mzizi na shina. katika andiko hili tutaanza...
1 Reactions
0 Replies
24K Views
(1) All the hell broke loose-the occurance of sudden noises,fighting,arguments,etc (2)Leave no stone unturned-doing what you can do to achieve something you want (3) Kick the bucket-die...
9 Reactions
164 Replies
21K Views
Msaada, nisaidieni wapi nitumie WHO na wapi WHOM. Nachanganya sana.
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Salaam Wakuu, Leo tuendelee kujikumbushia masuala mbalimbali yanayohusu lugha. Baada ya kuangalia maana ya Virai na aina zake katika somo lililopita (Soma: Fahamu zaidi kuhusu Virai, muundo na...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
How can improve english speeking for free at home Give me a way to use
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Tafadhali sana hilo neno haliandikwi wala kutamkwa hivyo ila linasikika nna hiyo (kama kabudi alivyo litamka) wakati fulani akitoa hotuba nchini kenya wakati akiwa waziri wa mambo ya ncho n.k Na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, kumekuwa na tabia ya jamii kutumia sentensi "kwa majina naitwa" au "majina yangu ni" kila kunapofanyika utambulisho. Naomba kujuzwa kama hii ni sahihi ama la. Tena hata kwenye vyombo vya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kuuliza hivi Hilo neno happy juu kwenye kichwa Cha habari Lina maana gani in Swahili?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wajuzi mniambie maana ya hi methali "Lila na fila hazitangamni"
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna kitu kinaitwa Ngekewa, kila mara nasikia eti fulani ana Ngekewa. Nimejiuliza maswali mengi sana sipati jibu, Ngekewa ni nini? Hebu nisaidieni Ngekewa ni nini?
0 Reactions
38 Replies
33K Views
Salaam Wakuu, karibu tupate somo la lugha tujikumbushie shule kidogo. Najua wengi wetu kwa namna moja au nyingine katika harakati za kusoma mshawahi kusikia neno kirai na kishazi. Katika kujifunza...
1 Reactions
2 Replies
23K Views
Madalali wengi na watu binafsi kwa Tanzania wanatumia neno Public toilet kwenye choo cha wageni katika (residential house) makazi binafsi. hii imekaa sawa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam, Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.
11 Reactions
89 Replies
6K Views
Habarini za mchana wana lugha. Nimekuwa nikisikiliza mara kadhaa nyimbo za wasanii wa hapa bongo na nyimbo zao zikiwa na maneno tata au majina ya nyimbo zenyewe kuwa na ugumu kung'amua maana, kwa...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Katika andiko la leo tutaangalia mbinu za ujumla za kuandika makala. Natambua kuwa zipo aina nyingi za makala na upo uandishi wa aina nyingi lakini uzi huu utajaribu kuangalia mbinu...
2 Reactions
9 Replies
15K Views
Katika kamusi ya tuki, neno "trauma" limetafsiriwa kama 'kiwewe' kwa haraka haraka nikaoanisha na maneno kama 'mauza uza' ama 'mawenge' Sasa wanajamvi naomba mnisaidie kutafsiri maneno hayo kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, tunaendelea na somo letu la aina za maneno. Katika andiko hili tutachimba kiasi katika maana na aina za Viunganishi. Twende pamoja hapo hapa chini: VIUNGANISHI Viunganishi ni...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Wakuu salaam, tunaendelea na mada kuu ya aina za maneno katika lugha. Katika uzi huu tutafafanua dhana ya Vielezi na aina zake. Twende pamoja: VIELEZI Vielezi ni maneno yanayotumika kufafanua...
1 Reactions
8 Replies
26K Views
Back
Top Bottom