Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?
Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza.
Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni...
Habarini wajuzi mbali mbali mliopo hapa, kwani inasemekana frequency au series za namba fulani au hyper hidden knowledge ambayo ina uhusiano na nguvu za ndani za kimwili huweza kutengeneza uwezo...
1. Nomadism in Afro is twofold bigger than local tourism. If nomadism in Afro is levied, the amount collected will be colossal than that of local tourism, Douglas Oriko Majwala, 2021.
Afro must...
Nianzie kwa salamu, hali zenu kutambua,
Maana ninayo hamu, histori simulia,
Nimifikia hatamu, masomo kumalizia,
Ninachoweza kusema, sasa nimepata kazi.
Jina langu Bilalama, Kitumba ndio mzizi...
Huu msemo unatumika sana, lakini binafsi huwa siuelewi yani unamnyonga mtu halafu unampaje haki yake.
Naona kama msemo wa kinafiki. Wataalam hebu nisaidieni.
Nyanja: Mahusiano
1. Nobody made me I will make nobody, Douglas Oriko Majwala, 2021.
As you help one you help yourself.
Hakuna aliyeniandaa sitamuandaa mtu, Douglas Oriko Majwala...
Nyanja: Utawala Bora/Haki za Binadamu.
Imekuwa ni tabia kuwa chaguzi zinapowadia huwa serikali nyingi mahala pengi duniani zinafanya mabadiliko ya baadhi ya sera, mikakati na mipango yake ili...
Nini TOFAuti ya sentensi hizi kimaudhui:
👉....... ATAKUFA PEKEYAKE
VS
👉..... ATAKUFA na WENGI
TUJIFUNZE MAISHA YA KUNYOSHA MTU KIDOLE YANAPOISHIA (UWEKEZAJI WA KISWAHILI)
KWELI MZUNGU...
Somo la kwanza.
(haya maneno mda mwingi tunayatumia unapokutana na mtu)
Hujambo
nĭ hăo 你好
Habari ya asubuhi
zăo shang hăo 早上好
Habari ya mchana
xià wŭ hăo 下午好
Habari ya jioni
wăn shàng hăo 晚上好...
Kama kichwa kinavyo jieleza, ningependa kujifahamu jinsi maneno haya yanavyo tumika katika lugha ya kiingereza
Katika kiswahili matumizi ya O-rejeshi (o,ye,lo,po,ko,mo,zo n.k) kama
ataka-ye-...
Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa.
Emperor na empress
Chief
Prince na princess
Crown prince na crown princess
His/her...
Aisee binafsi nakerwa sana na msemo Nyani haoni kundule
Sababu: hilo neno kundule naona kama nimetukanwa vile [emoji2]
Wewe ni msemo gani wa kiswahili una kukera? Na kwanini?
Kuna msemo watu huwa wanasema mtu huyu au yule ana gubu au chama fulani wafuasi wake wanagubu sielewi neno gubu linaashiria nini mwenye kuelewa atiririke hapa tujue.
Kuna mzee mmoja aliniambia...
Binafsi nilimuona hayati Magufuli kama mtu mwenye matendo makali na Tundu Lisu kama mwenye maneno makali.
Naomba maoni yenu katika hili Matendo makali vs Maneno makali
Mungu ni mwema wakati wote!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.