In love with Nigerian English (accent and all that)

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Hello Linguists,

Abeg to ask for anyone down here to teach me the basics of nigerian english na'. I wish to learn how they dance with words so fantastically..

Please, tell me what can I do to be as perfect as they're even if it's a broken one... I have just started watching lots of their short films, parodies and comedy shows online, alike of these:

Please, can someone take me through to the mastery of the language?..
 
Hii mijamaa iki kutana kama mtu 3 hivi utasema ni umati wa watu 100.

Mi nigeria ni ina kelele balaa. Hayajuagi kuongea taratibu. Tehe Alaf wa nigeria wa mbele at tyms hujifanya hawana hyo accent.
 
Labda ujifunze kwanza Kiingereza cha kawaida, halafu ndiyo uje ujifunze hicho kingine. Kama utajifunza hicho kibovu kwa sasa ukiwa hata kile kingine hukijui, hutajua kiingereza. Labda uwaambie wakufundishe kilugha chao.

Hello Linguists,

Abeg to ask for anyone down here to teach me the basics of nigerian english na'. I wish to learn how they dance with words so fantastically..

Please, tell me what can I do to be as perfect as they're even if it's a broken one... I have just started watching lots of their short films, parodies and comedy shows online, alike of these:

Please, can someone take me through to the mastery of the language?..
 
Hii mijamaa iki kutana kama mtu 3 hivi utasema ni umati wa watu 100.

Mi nigeria ni ina kelele balaa. Hayajuagi kuongea taratibu. Tehe Alaf wa nigeria wa mbele at tyms hujifanya hawana hyo accent.
Hao ni Yorubas wana kelele sana, wengine ni wa kawawaida. Yoruba pia wanamaringo wanajiona wao ndio kila kitu.
 
I think Hausa's ndio wanajiona flan hivi...on my stay in UK & US i found Igbo's nd Yorubas are Ok and very friendly.

Hao igbo's are like the brain of Nigeria kama unavyoona Wachagga hapa bongo. Wako very business oriented.
 
Yaani kama unavyosema lakini Yorubas ndio wamekwenda shule sana. Wanakelele kuna siku nilimuona mmoja anaongea pekeyake barabarani anatupa mikono juu kulia kama anagombana na mtu, nilikuwa nyuma yake, niliharakisha nikasema ulaya kichaa amevaa fresh hivi. Kumbe yuke kwenye simu na ameweka blue tooth.
 
Hahaha the accent ndio inanifurahishaga sanaa....

I had a lot of nigerian friends mostly igbo's....ilifika a point nikaanza adapt lugha yao nd the accent design...mpaka matusi ya ki igbo wamenifundisha wale. I was like already speaking some of the things....na ile pidgin english.

Ki ukweli wanajua kukimbiza fursa mnoo....ukiona nchi yoyote kuna wa nigeria wengi we jua kuna ulaji hapo, hawakai sehem kifal.a fal.a wale. Wako nchi nyingi sanaaa. Mpaka mjini KKOO wapo.
 
EACH COUNTRY HAS ITS OWN ACCENT ILA KWAKUWA WEWE NI MBONGO HUJUI LUGHA YA KIINGEREZA NDIO MAANA UNASEMA HUELEWI KIINGEREZA CHAO
 
Back
Top Bottom