Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1. Habari afikishiwe, miye Mzenji mwenziwe. Haliendi kwenginiwe, hilo ni langu mwenyewe. Upesi nikubaliwe, umri tabu isiwe. "Huyu namtaka mimi, nimrudishe nyumbani" 2. Nina wengi marafiki, wajuzi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau wa lugha naomba kujuzwa nini maana ya "Ashakum si Matusi"? Au hii sentensi inatumikaje?
0 Reactions
44 Replies
58K Views
Nakumbuka Kibanga alivyompiga Mkoloni, nakumbuka Anduje alikuwa mfupi, nakumbuka Baba Mmoja alivyorudi toka Safari ya Mbali...., Nakumbuka yule dogo mtesa wanyama alivyonyooshwa na Jogoo, vilevile...
2 Reactions
1 Replies
491 Views
Habari zenu wako. Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha...
11 Reactions
128 Replies
4K Views
The word kateerero is now involved in Oxford dictionary, with its real meaning, As name of small village in Bukoba, also as a sexual style
11 Reactions
43 Replies
25K Views
Habari za muda huu wa wanaJF! Kama yalivyo maelezo hapo juu. Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:- Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu...
7 Reactions
116 Replies
18K Views
Mteja: Aisee vipi salama? Mimi: nipo salama, lete habari Mteja: Sasa bwana Wakili kumbe yule mteja uliyeniletea anaongea Kingereza? Mimi: Ndiyo, ni Mzimbabwe, kwani tatizo nini? Mteja: Aaaah...
3 Reactions
1 Replies
629 Views
Habari wana jukwaa la Histori. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Hapo juzi juzi miaka ya nyuma kidogo wazazi , walezi na wakubwa wetu walikuwa wakitusisitizia sana pindi walipo...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
BODABODA Leo mie boda boda, Nakikalia kigoda, Upepo ni yangu poda. Naipenda sana kazi, Ndo inipayo malazi, Kula mpaka mavazi. Sina elimu kichwani, Nina peni mkononi, Na mawazo akilini. Sinayo...
3 Reactions
1 Replies
376 Views
Ndugu zangu... Sio Leo, wala Jana, au Juzi wala Majuzi tumekuwa tunasoma Lugha zenye utata katika baadhi ya nyuzi na maudhui yanayo ambatana nayo...mfano mzuri ni kama zile za mambo ya ndoa...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Neno-KIBURI Neno-JEURI Maneno haya kama ya shabihana lakini naona kama ya natofauti kimaana!
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Ninaelewa kuwa Kodi ni malipo yasiyo ya hiari ambayo raia analipa serikalini kutokana ama na mapato au kutokana na mali anayomiliki. Kuna Kodi ya Ardhi, Kodi ya Mapato, Kodi ya Gari na kadhali...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Ukitaka kuandika hongera baadhi ya keyboard zinakupakazia eti kongole! Kongole wich, who are you kongole? are you normal?🤷‍♂️ Je ni kutohoa congratulations au ni nini? Kwani kiswahili lini...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Naomba kuuliza ,TEI wamechambua NGELI Kwa MSINGi WA kisintakisia NGELI 12.!! Vitabu vingine wamechambua Tisa!! Sasa sahihi?
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya...
29 Reactions
166 Replies
10K Views
Naomba kuuliza ,TEI wamechambua NGELI Kwa MSINGi WA kisintakisia NGELI 12.!! Vitabu vingine wamechambua Tisa!! Sasa sahihi?
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Kiswahili kina ugumu wake. Nashindwa kutofautisha kati ya "Ona", "tazama" na "angalia". Je, ni wakati gani natakiwa nitumie neno lipi katika matumizi sahihi ya kiswahili? Naomba kujua matumizi...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
7 OF THE EASIEST FOREIGN LANGUAGES TO LEARN 1. Spanish Speaking: Very Easy Grammar: Very Easy Writing: Easy Overall: Very Easy As English speakers, we can be thankful that Spanish...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia. Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni...
0 Reactions
3 Replies
552 Views
Na: SHAABAN ROBERT (1909-1962) 1.Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana, Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana, Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina, Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom