Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hapa nimejitahidi kuandika baadhi ya maneno ambayo Lugha ya Kiswahili imeyatohowa na kuyatia kwenye msamihati wake. Mnakaribishwa kuchangia maneno mengine ambayo, hapa hayapo, si lazima yawe...
0 Reactions
30 Replies
37K Views
Kwa mfano nimepigiwa na rafiki yangu nataka kumueleza nipo kwenye basi kwa kingereza ipi ni sentencing sahihi kati ya hizi. Which is correct, “I am in the bus” or “I am on the bus”?
3 Reactions
19 Replies
1K Views
WAJA Dawa ya kipwepwe nini, Siyo maji na sabuni? Basi jipu tumbueni, Mnayemhofu nani? Mtachopoteza nini? Mkidai kwani shani! Kuna nini utaani, Hadi muogope nari? Ona mwafanyiwa ndaro, Muishipo...
1 Reactions
3 Replies
468 Views
Karibuni Wote pia mnao kijua Kiitaliano tupeane maujuzi.
2 Reactions
74 Replies
6K Views
Salaam ndugu zangu, Kiswahili ni miongoni mwa lugha zinazokua kwa kasi kwa sasa ulimwenguni. Lugha hii inazidi kusambaa Kijiografia pamoja na kuongeza idadi ya wazungumzaji kila kukicha. Pamoja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mke wangu aniamsha, usiku saa sita, Machozi aomboleza, simu anonyesha, Habari mbaya napata, usingizi unakata, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa. Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota, Aniijia...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
"Ikiwa hutaki kula lililodondoka chini, basi hakikisha una uwezo wa kutosha kukwea juu ukachume lako" AMANI DIMILE [emoji1364]
0 Reactions
4 Replies
371 Views
Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya kiingereza pasi kujua maana mbadala. NENO MAANA Radio...
9 Reactions
22 Replies
21K Views
Mtunzi: RamaB. Hivi hawa matajiri, walifanya kazi gani? Kuondoa ufakiri, wakawa mamilioni. Nipeni yao siri, iniingie kichwani. Kuchuma najitahidi, sina bahati mwenzenu. Nikalikamata jembe, panga...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Habari afikishiwe, miye Mzenji mwenziwe. Haliendi kwenginiwe, hilo ni langu mwenyewe. Upesi nikubaliwe, umri tabu isiwe. "Huyu namtaka mimi, nimrudishe nyumbani" 2. Nina wengi marafiki, wajuzi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau wa lugha naomba kujuzwa nini maana ya "Ashakum si Matusi"? Au hii sentensi inatumikaje?
0 Reactions
44 Replies
57K Views
Nakumbuka Kibanga alivyompiga Mkoloni, nakumbuka Anduje alikuwa mfupi, nakumbuka Baba Mmoja alivyorudi toka Safari ya Mbali...., Nakumbuka yule dogo mtesa wanyama alivyonyooshwa na Jogoo, vilevile...
2 Reactions
1 Replies
489 Views
Habari zenu wako. Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha...
11 Reactions
128 Replies
4K Views
The word kateerero is now involved in Oxford dictionary, with its real meaning, As name of small village in Bukoba, also as a sexual style
11 Reactions
43 Replies
25K Views
Habari za muda huu wa wanaJF! Kama yalivyo maelezo hapo juu. Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:- Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu...
7 Reactions
116 Replies
18K Views
Mteja: Aisee vipi salama? Mimi: nipo salama, lete habari Mteja: Sasa bwana Wakili kumbe yule mteja uliyeniletea anaongea Kingereza? Mimi: Ndiyo, ni Mzimbabwe, kwani tatizo nini? Mteja: Aaaah...
3 Reactions
1 Replies
626 Views
Habari wana jukwaa la Histori. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Hapo juzi juzi miaka ya nyuma kidogo wazazi , walezi na wakubwa wetu walikuwa wakitusisitizia sana pindi walipo...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
BODABODA Leo mie boda boda, Nakikalia kigoda, Upepo ni yangu poda. Naipenda sana kazi, Ndo inipayo malazi, Kula mpaka mavazi. Sina elimu kichwani, Nina peni mkononi, Na mawazo akilini. Sinayo...
3 Reactions
1 Replies
373 Views
Ndugu zangu... Sio Leo, wala Jana, au Juzi wala Majuzi tumekuwa tunasoma Lugha zenye utata katika baadhi ya nyuzi na maudhui yanayo ambatana nayo...mfano mzuri ni kama zile za mambo ya ndoa...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Neno-KIBURI Neno-JEURI Maneno haya kama ya shabihana lakini naona kama ya natofauti kimaana!
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Back
Top Bottom