Nini tofauti ya maneno haya?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini tofauti ya maneno haya??

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by KakaKiiza, Dec 18, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,254
  Trophy Points: 280
  Neno-KIBURI
  Neno-JEURI

  Maneno haya kama ya shabihana lakini naona kama ya natofauti kimaana!
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kiburi ni hali ya kuwa na dharau ya kuzaliwa nayo, yaani mtu ana kuwa mjeuri kila wakati hata kama hastahili.

  Jeuri inaweza kuwa ni ya muda kisha mtu akajirekebisha au ikatokea mtu akawa anajeuri baada ya kupata kitu fulani kinachomfanya kujiona yupo tofauti na wengine.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,254
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona vitu hivi kama vinaingiliana??au nikitu kimoja??
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hayo maneno ni synonyms.
   
 5. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Wakuu naomba nijuzwe pia tofauti ya maneno haya na matumizi yake katika sentensi.
  neno, Nafuu
  neno, Afadhali
   
Loading...