Yajue majina ya vitu hivi kwa kiswahili, ulikuwa ukivijua kwa kiingereza tu

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,967
19,195
Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya kiingereza pasi kujua maana mbadala.

NENO MAANA

Radio Rungoya

Password Nywila

Keyboard Kicharazio/Baobonye

Scanner Mdaki

Floppy disk Diski tepetevu

Computer virus- Mtaliga

Business card Kadi kazi

ATM Kiotomotela

Laptop Tarakilishi mpakato/Ngamizi mpakato

Computer Tarakilishi/Ngamizi

Mobile phone Simu tamba

Remote control Kiunga mbali

Lift Kambarau/Kikwezi.

Incubator Kitamizi/Kitotoa/Kiangulia

Juice Sharubati

Chips Vibanzi

Green house Kivungulio

Certificate Astashahada

Diploma Stashahada

Degree Shahada

Masters Shahada ya Uzamili/Shahada ya Umahiri

PhD Shahada ya uzamivu/Shahada ya Udaktari

Bureau de change Golo

Archives Makavazi

Consultant Msadi

Smartphone Sikanu

Keyword Neno msingi

Kit Kivunge

Online Mkondoni

Page Gombo

Paste Bandika

Pointer Kidosa

Print Chapisha

Protocol Itifaki

Tips Vidokezo

Wallpaper Pazia

Website Tovuti

Internet Wavuti

Web Wavu
WWW(World Wide Web) Wavu Wa Walimwengu.

Electronics Vitu meme

Live Papo/Mubashara

Hardware Maunzi ngumu

Software Maunzi laini

Device Kitumi

PowerPoint Kinuru weo

Quiz Mjarabu shitukizi

Install Sanidi

Uninstall Sanidua

Highlighter Kidhulishi

Cursor Kielekezi

Browser Kisakuzi

Bookmark Kiashiri mada

Adapter Kirekebu

Download Pakua

Footer Kijachini

Footnote Tiniwayo

Chatting group Kundi sogozi

Eject Fyatua

Hardcopy Nakala Bayana

Softcopy Nakala laini

Multimedia Media anuai

Alert Tahadhari/Tahadharisha

Stationer(y/ies) Makabrasha

Word processor Kichakata maneno

University Ndaki

Main campus Bewa kuu

Mouse Puku

ICU Sadaruki.
 
Hiki ni kiswahili cha wapi?;
 
Kiarabu na kingereza zote ni lugha za kigeni. Kwangu mimi kila palipo na kiarabu nitatumia kingereza. Mfano degree, diploma, certificate, computer, nk.Halafu tafsiri pia zizingatie maneno yaliyo kwenye jamii, mfano neno mobile phone, hili ni simu ya mkononi.!
 
Hahaaa basi niko kwenye kambarau nasikiliza rungoya yangu hapa
 
Kiswahili kigumu sana ona sasa hawa wanaita mbashara wale wanasema mubashara
 
siku moja nilibadilisha kompyuta yangu kusoma lugha ya kiswahili.
nikawa nimeweka ant virus baada ya kuchomeka flash kwenye kompyuta.
ant virus inaniambia kwa kiswahili kompyuta yako imeingiliwa kunyume na makubaliano
 
😂😂😂😂😂tumepigwa hapa
Nalog off
 
siku moja nilibadilisha kompyuta yangu kusoma lugha ya kiswahili.
nikawa nimeweka ant virus baada ya kuchomeka flash kwenye kompyuta.
ant virus inaniambia kwa kiswahili kompyuta yako imeingiliwa kunyume na makubaliano
Utakuwa uliibaka hiyo computer
 
Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya kiingereza pasi kujua maana mbadala.

NENO MAANA

Radio Rungoya

Password Nywila

Keyboard Kicharazio/Baobonye

Scanner Mdaki

Floppy disk Diski tepetevu

Computer virus- Mtaliga

Business card Kadi kazi

ATM Kiotomotela

Laptop Tarakilishi mpakato/Ngamizi mpakato

Computer Tarakilishi/Ngamizi

Mobile phone Simu tamba

Remote control Kiunga mbali

Lift Kambarau/Kikwezi.

Incubator Kitamizi/Kitotoa/Kiangulia

Juice Sharubati

Chips Vibanzi

Green house Kivungulio

Certificate Astashahada

Diploma Stashahada

Degree Shahada

Masters Shahada ya Uzamili/Shahada ya Umahiri

PhD Shahada ya uzamivu/Shahada ya Udaktari

Bureau de change Golo

Archives Makavazi

Consultant Msadi

Smartphone Sikanu

Keyword Neno msingi

Kit Kivunge

Online Mkondoni

Page Gombo

Paste Bandika

Pointer Kidosa

Print Chapisha

Protocol Itifaki

Tips Vidokezo

Wallpaper Pazia

Website Tovuti

Internet Wavuti

Web Wavu
WWW(World Wide Web) Wavu Wa Walimwengu.

Electronics Vitu meme

Live Papo/Mubashara

Hardware Maunzi ngumu

Software Maunzi laini

Device Kitumi

PowerPoint Kinuru weo

Quiz Mjarabu shitukizi

Install Sanidi

Uninstall Sanidua

Highlighter Kidhulishi

Cursor Kielekezi

Browser Kisakuzi

Bookmark Kiashiri mada

Adapter Kirekebu

Download Pakua

Footer Kijachini

Footnote Tiniwayo

Chatting group Kundi sogozi

Eject Fyatua

Hardcopy Nakala Bayana

Softcopy Nakala laini

Multimedia Media anuai

Alert Tahadhari/Tahadharisha

Stationer(y/ies) Makabrasha

Word processor Kichakata maneno

University Ndaki

Main campus Bewa kuu

Mouse Puku

ICU Sadaruki.
Aisee
 
Kiarabu na kingereza zote ni lugha za kigeni. Kwangu mimi kila palipo na kiarabu nitatumia kingereza. Mfano degree, diploma, certificate, computer, nk.Halafu tafsiri pia zizingatie maneno yaliyo kwenye jamii, mfano neno mobile phone, hili ni simu ya mkononi.!
Mobile phone ukitafsiri neno kwa neno haiwwzi kuwa simu ya mkonono ,maana mobile ni kitu kinachomove
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom