Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nalikuta maana nyingi limetumiwa katika sentensi kama hii hapa chini..... chambilecho wasemaji wa kiswahili.."hata mbuyu ulianza kama mchicha"
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Talk a Talk and Walk a talk
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Do 1. Form Principal parts: do-did-done Present tense: Affirmative Negative Interogative I do I do not(don’t) do I...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
2 Reactions
15 Replies
6K Views
kuchoreka kushoboka maunguli (wa filamu) Na pia eti kuna gari TZ linaitwa Skylet/Scarlet? Asanteni! :)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuchambwa au kuchamba naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho je ni neno sahihi nje ya toilet? na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Morning JF People na wakereketwa woote Jamani, as u know JF is not only the home of great thinkers kama mm but pia ni kituo cha kupata maarifa na kujifunza mambo mbali mbali..sasa mm nimeamua...
3 Reactions
19 Replies
9K Views
Nimezamishwa kinani, kwenye lindi la huzuni, pakushika sipaoni, mwenzenu ni simanzini, Nina uchungu moyoni,limenikuta jamani, Umenipata msiba. Mwana kukuza nyumbani, na vyuoni masomoni...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Napenda kufahamu kinyume cha neno "Dhaifu".Kisha mnisaidie kutaja nani kati ya marais awamu zote ni dhaifu zaidi.Kuanzia wa kwanza kwa udhaifu hadi wa mwisho ambae atakuwa na jina ambalo ni...
0 Reactions
6 Replies
14K Views
haya maneno hutumika sana, lakini neno moja halina maana nzuri, sasa nikukaribishe wewe JF member unisaidie Mazingira ambayo naweza kutumia haya maneno.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
THE MERRY WIVES OF WINDSOR (HERI WANAWAKE WA WINDSOR) Performed in Swahili by Bitter Pill from Nairobi, Kenya. (with scene description in English) TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA: Shakespeare: Globe to...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Nimeamua kupitia huku leo baada ya kutatizwa na haya maneno ambayo machoni pa wengi yanatumika tu ila binafsi naona kasoro zifuatazo. Taasisi ya kukusanya kodi Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ne mbwitu! Niamba he,nifuna kutama ngolongondi kumgati...namwene.Maganga yawi lepa. Namyangu wikita kyani ?
5 Reactions
67 Replies
28K Views
hivi tz tunatumia lugha gani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu, naomba kujua neno sahihi katika matumizi ya lugha ya Kiswahili. Jee ni kujuza, kujuzwa au ni kujulisha au kujulishwa? Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wanajamvi naomben jibu kwa anaefaham baba mkubwa kwa lugha ya kiingereza anaitwaje anijuze.
0 Reactions
39 Replies
27K Views
Lakini sijawahi kusikia tukibezana kwa broken Kiswahili. Wazungu wanaharibu sana lugha yetu, kuonesha double standards tunawachekea tu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau, naomba kujua kwa kiingereza tunasemaje neno 'kuponza' mfano wa sentensi: nimemponza Juma akakamatwa na polisi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ndugu zangu, naomba kujua neno 'mmonyoko wa maadili' linasemwaje kwa lugha ya kiingereza?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa nn? Kiswahili cha msimbo/ mseto kimekithiri sana hivi sasa miongoni mwa watumiaji wa lugha hiyo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…