VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Ne mbwitu! Niamba he,nifuna kutama ngolongondi kumgati...namwene.Maganga yawi lepa. Namyangu wikita kyani ?
Uko sahihi Mkuu1.Ne Mbwitu~Mie Sitaki
2.Kumgati~Ndani
3.Namyangu wikita Kyani~Mwenzangu unafanya nini?
Hayo mengine network inakata flani hivi naogopa kudanganya umma sina hakika sana, ngoja niwaachie wenzangu.
Mkuu,kutama ni kukaa;namwene ni mimi mwenyewe(pekeyangu)Kutama = Kukaa?
Namwene = nayeye?
Inataka kufanana na 'cha kwetu'!
Aaah! hiyo 'namwene' nilitaka kuifananisha na "umwene" ambayo 'kwetu' ina maana "yeye"! "Mimi mwenyewe" au "mimi" sisi tungesema "unene". Kibantu kitamu sana.Mkuu,kutama ni kukaa;namwene ni mimi mwenyewe(pekeyangu)
Ni kweli MkuuAaah! hiyo 'namwene' nilitaka kuifananisha na "umwene" ambayo 'kwetu' ina maana "yeye"! "Mimi mwenyewe" au "mimi" sisi tungesema "unene". Kibantu kitamu sana.
mbona kwenye ile thread ya 'mama kuishi na mtoto wake kinyumba kwa miaka 10' hamjajitokeza? kumbe mpo wengi hivi?lol
nendeni mkamsaidie yule mwenzenu anayemtafuna mama yake kabla laana hiyo haijasambaa kwa Wangoni wengine kina Mapunda, Matembo
Akiti kyani?!mbona kwenye ile thread ya 'mama kuishi na mtoto wake kinyumba kwa miaka 10' hamjajitokeza? kumbe mpo wengi hivi?lol
ThibitishaSifa za wangoni, Ukabidhi chochote kupeleka lakini siyo mwanamke .................... Majina yao ya wanyama waliojipa ni kutokana na WOGA
usipo pigwa ban nitaanza kuamini JF haitendi haki wakati flani.miezi kadhaa iliyopita nilipigwa ban ya miezi mitatu kwa kuhusisha kabila moja maarufu na kale kamchezo kabaya kwa watoto wa kiume.wee kwali wamwene.:redface:nendeni mkamsaidie yule mwenzenu anayemtafuna mama yake kabla laana hiyo haijasambaa kwa Wangoni wengine kina Mapunda, Matembo
Nirekebishe na kutoa tafsiri. Nihamba he (nihamba lepi) =siendi. nifuna kutama ngolongondi =nataka kukaa kimya (nikiwa nafikiri); mgati au kugati na siyo kumgati. =ndani. maganga gavi lepa = hakuna pesa (lit. hakuna mawe);Ne mbwitu! Niamba he,nifuna kutama ngolongondi kumgati...namwene.Maganga yawi lepa. Namyangu wikita kyani ?