Yaani kitabu au makala ya sheria ya hakimiliki niweze kuyasoma na kuzifahamu hizi sheria
Naomba msaada jamani
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kusaga tunajua kitendo cha kuponda kitu kutoka hali yabisi/ugumu (mfano mahindi, mawe, n.k) kwenda katika hali ya unga unga. Tunatumia neno 'usagaji' zaidi kwenye kitendo cha kutengeneza unga wa...
KISWAHILI NI LUGHA NA TUNU YA TAIFA. Nani kasema Kiswahili si lugha imara? Nani anasema Kiswahili si lugha mashuhuri? Na nani ansema kuwa Kiswahili si lugha ya kisomi? Ni jukumu la...
kusaga tunajua kitendo cha kuponda kitu kutoka hali yabisi/ugumu (mfano mahindi, mawe, n.k) kwenda katika hali ya unga unga. Tunatumia neno 'usagaji' zaidi kwenye kitendo cha kutengeneza unga wa...
Ipo live on ESPN sasa hivi.
Ebana hivi vitoto ni kiboko! Vinanifanya mtu mzima nijione sijui kitu kabisa katika medani za tahajia na msamiati wa Kiingereza.
Nani mwingine anafuatilia?
mtu akikuuliza ''haujambo'' unajibu ''sijambo'' ukimaanisha hauna tatizo,je, ukiwa na tatizo utajibu vipi?namaanisha kinyume cha neno sijambo katika salamu.
nimeona watu wengi na vyombo vya habari vinashindwa kumtofautisha lowassa aidha ni mstaafu au aliyejiuzulu. lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu, na siyo mstaafu kama walivyozoea kumwita. over..
Binafsi natatizwa sana na maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika Nadharia ya Udenguzi
Aporia
Tofahirisho
Nitafurahi sana kusikia ufafanuzi wa maneno hayo kutoka kwenu.
....Unataka kumuuliza rafiki yako mzungu ( babake ana wake wawili) : '' Wewe kwa mama yako ni wa ngapi kuzaliwa?"
Nisaidieni kiingereza chake safi cha bila ku ungaunga au kumung'unya ntasemaje?
Siku moja wafanyakazi wa kampuni walifika ofisini ,na walioona tangazo kubwa kwenye mlango limebandikwa
jana mtu ambaye amekuwa akiwazuia nyie msipate mafanikio amekufa.tunawakaribisha katika...
nipo arusha,kunarafiki yangu anatafuta darasa maalum kwa ajili yakujifunza lugha ya kingereza.vyuo vipo vingi sana kwa sasahivi yupo pale jengo la molell alakini hakuridhika na mafunzo...
wa2 tunakufa njaa pesa wanazila
wengne*
ukiongea kwa umma waweza
chinjwa pengne*
wanasema bora u2lie ucje fikishwa
pengne*
naongele utawala wa tz co nchi
nyngne*
unaomilikiwa chama cha mabavu na...
my self am kinshasa born&grow up.by the experience and importance of our fabulous lugha takatifu(swahili)we are on the way to step up a cmnauty radio station in (kin)our efort is to start spreed...
Leo nilikuwa kwenye daladala kutoka magorofani kwenda mwenge, nikakuta kuna mjadala unaouhusu ni lugha ipi nzuri kati ya kiswahili na kiingereza yenye kufikisha ujumbe na mtu akakuelewa vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.