Haya maneno hua yananitatiza sana, huenda ni sawa kusema mkono wa KULIA (Chakula) lakini napata shida kusema mguu wa KULIA (kwa asili ya yalikotoka)
wadau tusaidiane hapa mana najua SIKO peke yangu
Ninapenda sana waandishi wetu walioandika vitabu mbalimbali kama: Kufa na Kupona, Je Kisasi, Dimbwi la damu, Tutarudi na roho zetu, Salamu toka Kuzimu na kadhalika. Ninachotaka kuuliza ili munipe...
Anahitajika mtu wa kufanya translation vizuri kutoka kiswahili kwenda kingereza kwa bei poa. Mimi niko Arusha ila hata kama uko Dar es salaam tunaweza kukubaliana
jamani naombeni muni simulie ile riwaya ya mzee beka. Mimi niliishia pale ben amewateka watoto wa mzee beka na mke wa singh, halafu anajua wamemteka jabu pekee. Kumbe na ndugu yake pia ametekwa.
Nimeulizwa swali kuhusu muongozo wa jinsi ya kupoata wawakilishi wa wajumbe wa Baraza la Kata katika Katiba Mpya
Moja ya masharti ni kwamba lazima uwe na makazi ya kudumu katika kata husika, eti...
Hili nimepata kuendelea kuliona kupitia ndani ya majukwaa (forums) ya humu JF, na linakua kwa kasi ya ajabu kadiri siku, miezi na miaka inavyojongea.
Kuna baadhi ya watu humu utakuta kama...
Helow frnds,Iam so anxious on knowing dis language,and i c my self as iam not fluently on it both speakn n writn,so may u direct good place dat use to teach dis language dat wil mak m 2b...
Unaweza kuwa ni miongoni mwa
watu wanaokichukulia poa Kiswahili
na kudhani kuwa kujua Kiingereza
ndio dili! Muulize Jose Chameleone
jinsi Kiswahili kilivyobadilisha
maisha yake. Kupitia...
Hapo zamani palikuwagepo na simba aliyejulikana kama mfalme wa wanyama wote porini. Siku moja aliamua kumtembelea Sungura aliye julikana kuwa mwerevu na mjanja sana kule porini. Basi, simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.