Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
maana ya msemo huu ni nini????
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hivi hivi hili neno asili yake ni nini??
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Hellow guys naomba maoni yenu kuhusu maneno "kitafunio " na kitafunwa" yanapotumika kumaanisha chochote kwa ajili ya breakfast asbh
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Neno "MPUMBAVU" limekuwa likileta tafrani kubwa sana katika siku za hivi karibuni. Nimeona niweke hapa maana sanifu la neno hili. MPUMBAVU - Mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata akielezwa, juha...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
neno mpumbavu ni kaka yake na neno mjinga. Kuna watu humu wanasema kuwa Sugu amemtukana waziri mkuu pinda mimi nasema hapana hajamtukana, mtu ambaye hanafanya mambo ambayo hayaendani na utuuzima...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Can you notice the difference if for example you are signing a contract which may contain one of the following two statements? 1. You will have to pay a one-off subscription fee 2. You will have...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimehitimu kidato cha nne mwaka juzi lakini sijui kingereza cha kuongea wala kuandika ujumbe. Wana Jf nifanyeje ili niwe mkali katika lugha hii
0 Reactions
42 Replies
28K Views
Jaman wana JF naomba kujua tofauti kati ya neno "onesha" na "onyenya"
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Pinda Pinda mtoto wa mpanda, Kauli zako tumesanda, Wataka kututia sanda, Uongozi umekushinda, Kalamu nainyanyua, ushenzi we u bayani Ndugu unaroho mbaya, kukueleza si ubaya Tutakueleza bayana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ingawa watu hujisifia kuifahamu lugha na kuwa na msamiati lukuki, ukweli ni kuwa wengi hawajui hata maana halisi ya maneno ama wayatumiayo au yaliyozoeleka. Moja ya maneno hayo ni mpumbavua u fool...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
par Mathurin- Je suis l'identité de mes mots Je suis l'identité de mes mots Ils me racontent me définissent La plupart du temps tel que j’suis Je suis l’identité de mes mots Ils sont les...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
kiswahili ni lugha ya taifa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni tafsiri ya Maneno haya, Kwangu kingereza ni tabu, just a brief translation The Nine Satanic Sins by Anton Szandor LaVey ©1987 1. Stupidity—The top of the list for Satanic Sins...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nimekutana na neno "Majumui" mara nyingi tu sehemu mbalimbali duniani. Hata juzi wakati wa kigoda cha mwalimu nyerere nilimsikia Prof. Rwekaza Mukandala akilitaja. Mpaka imefikia UDSM...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Unaniudhi wewe.....Wewe usiojua vema matumizi sahihi ya herufi... Utakuta mtu hajui atumie wapi 'l' na wapi atumie 'r', anabaki kuchanganya na kuleta maneno au sentensi isiyoeleweka vizuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa Washwahili wenzangu, Kwa wale waliondoka tanzania kwa miaka ishirini iliyopita, wakirejea leo wanashindwa kufahamu watu wanazungumzia nini, wanashindwa kufahamu magazeti yanaandika nini...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi neno mheshimiwa lina maana gani?Maana inanishangaza kuona mtu anaitwa mheshimiwa lkn mambo anayoyafanya ni tofauti na jinsi anavyotwa.Mfano Mwigulu Nchemba na wengine kama hao wanaitwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NIlikuwa nasikia tu neno Boko Haramu lakin sijui maana yake. Kumbe Boko Haramu maana yake ni "Western education is sinful". Kumbe ndiyo maana wafuasi wake na wapenzi wake, na washabiki wake, na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Kwa Kiswahili inaitwa nini? Inasababishwa na kitu gani? Huwa inawatokea kina nani? Dawa yake inapatikana lini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom