Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ashiki majinuni, Fatma bint Subiani, Nampenda moyoni, sisikii wala sioni, Ameketi kitangani, na chano chake pembeni, Naanza alif, bee, tee, jamani natia kikomo. Kitezo, uvumba, ubani, na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
neno question - tunatamka kweshen badala ya kwes'chen '' consumer - '' konshuma badala ya konsyuma...
4 Reactions
86 Replies
9K Views
{Mmoja wetu punguani, ana matobo kichwani Alipofika duniani, mbingu purukushani Tangu hapo tafrani, amani hapatikani, Amani si amani, anadanganya punguani Filosofa wa Kundavi, Dotto na wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi nimechukizwa na tabia au mwenendo wa TATAKI na BAKITA kuwaaminisha wazungumzaji wa kiswahili hususani wa Tanzania kwamba kila neno la sayansi na tekinolojia lazima lipate kisawe chake kwa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
SISIMIZI! Si mkubwa kama temba lakini ana udhia Ni mdogo mwenye mambo Kidudu kisosikia Ficha hata kwenye tumbo Ujue ataingi Sisimizi kanishinda Sijui nifiche wapi. Atambalia vitamu Vikali...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu! Nahitaji msaada nikikumbuka enzi zile za hadith machozi yanataka kutoka sis tulio weza kusoma hadith mbalimbali leo hii katika ulimwengu wa sasa hatuoni watunzi mahili kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu! Nahitaji msaada nikikumbuka enzi zile za hadith machozi yanataka kutoka sis tulio weza kusoma hadith mbalimbali leo hii katika ulimwengu wa sasa hatuoni watunzi mahili kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, kwanini tunasikia vizuri sana kingereza cha kwenye movies kuliko mabosi wazungu ofisini??? Yaan kwenye movie, unasikia kila kitu, lakini ukikaa na bosi wa kimarekani ofisini, husikii kile...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndiyo ni hiyo sentensi......."Between the line", nimeona mara nyingi inatafsiriwa kwa Kiswahili kama "Katikati ya Mstari". Je hii ni sawa kwa kuangalia maana halisi ya neno hilo kwa Kiingereza? Au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia kuwa kulikuwa na mjadara kuwa Lugha ya taifa iwe ni kisukuma eti kwa sababu lugha hiyo imekaa vizuri na inamisamiati mingi. Hivi ni kweli?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kumekuwa na majina yasiyo rasmi na yasiyotambulika na umoja wa mataifa ya nchi mbalimbali ambayo yanatumika kwa wingi hapa nchini. Mfano kama ifuatavyo; 1. Marekani (United States) 2.Uingereza(...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
  • Redirect
wana jf naomba mnijuze maana ya neno mswahili n.b maana ziwe 5
0 Reactions
Replies
Views
Jaman naomba kuuliza. Et watu wanaposema kuwa "prior preparation prevents poor performance" ni kweli au?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa wanajf. Nasikitika kuwatarifu kuwa wajumbe wa mabaraza ya katiba waliochaguliwa wamechaguliwa bila waraka kufuatwa, kwa kuzingatia sifa halisi za waombaji na kama waraka ulivyoagiza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanaJF habar, Naombeni mnisaidie kuna mdogo wangu anamaliza 4m4 mwaka huu. Ndoto zake anataka kufanya kazi benki je nimsaidie vp
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Watanzania, Naomba kufahamishwa 'itikafu' maana yake ni nini? Lengo lake ni nini? Nimeshangazwa na habari hii ya kusikitisha kutoka gazeti la mwananchi la leo. Kama kiongozi wa nchi anasomewa...
0 Reactions
66 Replies
10K Views
Tafakuri Ya Leo.... Unalalamika Taifa Lina Rushwa unasahau ulifundishwa na wanao wanafundishwa shuleni na waalimu wao ELEZA MAANA YA METHALI ZIFUATAZO 1. PENYE UZIA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari, tafadhali naomba mnisaidie maneno mengine ya kiswahili yanayoishiwa na "fo" 1.Kifo 2.fofofo 3. 4. 5. 6. asanteni
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau kila siku najiuliza juu ya huyu mzee serilali yetu inawaenzi vp wazee km hawa, labda wenye ufahamu mdogo huyu mzee na wengine wengi ni magwiji wa kiswahili na ushairi.La kushangaza sijui hio...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Ni juzijuzi hapa ambapo tumeshudia Rais wa China akiongea kwa lugha yake, wakati Rais wetu anaongea Kiingereza. Hotuba hizo zilifaa wananchi wote wazielewe kupitia lugha yao ya Kiswahili. Viongozi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom