ADAM SHAFI ambaye ni Mwandishi maarufu :JUU YA MAISHA YAKE NA KAZI ZAKE

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,274
24,141
Mwandishi maarufu wa riwaya Mzee Adam Shafi akitupatia historia ya maisha yake toka mwanafunzi, kazi ya udobi ilimwezesha kukata tiketi ya meli nia na ndoto kufika Uingereza kwa ajili ya masomo, endelea kumsikiliza Mzee Adam Shafi safari zake dizaini ya 'uzamiaji' Yemen, Sudan, Uganda, Kenya n.k katika mahojiano yake na John Mtembezi Inniss wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom