Majina ya Kijerumani kwa miji ya
Tanzania wakati wa utawala wa
Kijerumani 'DeutschOstAfrika'
Bismarckburg (Kasanga)
Kilimandscharo (Kilimanjaro)
Wilhelmstal (Lushoto)
Weidmannsheil (Tabora)...
Makosa haya yapo kwa watu wa kada tofauti. Ongezea na wewe mengine
Bronchure--------------------akimaanisha Brochure
Inssue.................................akimaanisha Issue...
Karudi baba mmoja toka safari yambali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili...
watoto wake wakaja ili kumtaka hali wakataka na kauli iwafae maishaniiii
akatamka mgonjwaaa ninaumwa kwelikweli...
SICHO HICHO
Hiki kilichoko sicho, hiki sicho kilichoko,
Ndicho hiki hichohicho, ndicho hiki hakiko,
Hiki ni kile si hicho, kile kisichokuwako
Hakuna cha mgao, kilichoko ni historia;
Ya...
Habari za saa hizi wanajamvi
Iko hv ktk hali ya kushangaza kwa watanzania ni pale mtu anapoongea lugha ya kiingereza anajihisi kma shujaa aliyemwondoa Gaddaf madarakan kuliko pale anapotumia lugha...
Chura ni mnyama mdogo sana ambaye binadamu hamthamini na wala kumuogapa,lakini Tembo pamoja na kuwa mnyama mkubwa kuliko wote wa porini anamhara sana chura licha ya udogo wake.
Tembo hata...
kumekuwa na tabia ya wenye kusimamia kiswahili kulazimisha kuweka maneno ya lugha za mpya katika kutika kuongeza msamiati wa lugha ya kiswahili, mfano maneno kama ngamizi ya kupakata na ngamizi ya...
Mafundi wakutohoa, si wa sindano kutona,
nguo ukizitonoa, kusema atazishona,
na zile lozichojoa, kiraka atakiona,
Tegua
Siache lozipasua, kidhani hazitapona,
hata ulozitatua, na nyuzi zikaachana...
Wana jf naomba msaada juu ya matumizi ya matumizi ya maneno yafuatayo: Hoja ya nguvu na Nguvu ya hoja. Mtu anaposema mathalani jambo hili tutalimaliza kwa nguvu ya hoja anataka kusema nini na...
Usual things
Survival kit (for english speakers): 150 sentences
Namna ya kupronounce ile "r" ya kifaransa (extremely useful)
Unlicking the mysteries of french pronounciation (Also important)...
Mnazijua PEMBE ZA NDOVU? Ndovu (tembo) hana PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Majangili huwinda tembo kwa ajili ya kupata vipusa ambavyo huviuza, hasa ktk nchi za mashariki ya mbali. Vipusa hivi...