Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
kuna tofauti gani kati ya neno Utarizi na udarizi
0 Reactions
0 Replies
13K Views
naomba sana wakuu mwenye kujua maana halisi ya neno kafir anieleze ,kama hujui pita zako ,nimekuwa nikikutanaro sana hasa humu JF lakini kwa bahati mbaya sielewi maana yake
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wanaisimu naombeni majibu yenu...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
habari jf, kuna mtu anafahamu lahaja za kipemba na kitumbatu tufahamishane
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kwa mda mrefu, nilikuwa nikijua kuwa tunasema "dada yangu." Lakini mda kidogo uliopita, nilikuwa nikitazama runinga ya KBC katika kipindi fulani kinachojihusisha na ukuzaji wa lugha ya Kiswahili...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Ni fundi cherehani au fundi nguo, maana nasikia wanamwita fundi cherehani wakati hatengenezi cherehani anatengeneza nguo.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naombeni jibu
1 Reactions
3 Replies
3K Views
1>KUKU NDIE JINA LAKE,MTETEA NI MATANI. KUKU ANAMWENZI WAKE,WAISHI NAE BANDANI. JOGOO NA NDUGU ZAKE,WANAVILEMBA KICHWANI. NAMPENDA KUKU WANGU,NDO MANA YUPO BANDANI. 2>KOKORIKO WIMBO...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Those who have a problem of using letters ''l'' and "r" interchangeably they Normally make terrible mistakes in English than it is in KISWAHILI.Let us observe few examples here, in kiswahili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJF msaada wa haya maneno ya kingereza yanatumika wakati gani? " Best regards, Kind regards, Yours sincerely, "Yours faithfully,". Thank You, n.k" "Natanguliza shukurani" Asanteni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sio siri wakuu kwa sasa kuona viongozi wakubwa serikalini na hata wasomi wakitoa lugha hii hata kwa vitu visivyo na ulazima utasikia "NI JAMBO JEMA". kwakweli ni lugha ama sentesi inayouzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana bodi, Nimekutana na hii kule FB, kuna Kundi moja linaitwa "TANURU LA FIKRA" Kwa kweli kwa maoni yangu hili kundi linapaswa kuwa "TANURU LA VILAZA" Maana ukipita katika mawazo ya wana kundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi ninaona neno ‘nga’ kabla ya ‘li’, ‘na’ (tense) , kama vile, ningalikuja ..... tafadhali, unaweza kunieleza ‘nga’ ni nini? Na nipatie mifano kwa kuandika sentensi nyingi mbali mbali...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF? Naleta mbele yenu misemo miwili ya kiswahili inayotumika sana siku hizi lakini ni direct translation ya Kiingereza.Misemo hiyo na kiingereza chakei ni kama ifuatavyo: 1.Mwisho...
0 Reactions
16 Replies
30K Views
  • Closed
Ni kitu gani hii flirting
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wanajf wenzangu poleni na majukumu....Kwa wale wanaofahamu Kiswahili hasa upande wa viambishi, tafadhali naomba mnitajie kazi kumi za viambishi KA na KI.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
wakuu poleni na majukumu, kumekuwa na kauli za watu mbalimbali kuwa, flani anatumia nyota ya flani, mara huyu a nasafiria nyota ya flani, je nini maana halisi ya hili neno? na je mtu atajuaje...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
I needs specific kiSwahili terms for certain monsters and spirits out of Bantu mythology. Often I have the word in one Bantu language, but can't find it in kiSwahili. Examples: Ogre - a large...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wanajamv natak kuulza swal hili please msahada iv we drink porridge or we Eat it.. please mnifahimshe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Back
Top Bottom