Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naombeni kujuzwa maana halisi ya MSUKULE.... Au kitu au ili mtu aitwe MSUKULE inabidi aonekanaje au au awe na matendo yepi.....ni hilo tu
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Wengine watafikiri labda nimepotea njia, hapana, ila napenda kutoa angalizo kwa wanao/watakaokwenda kuhubiri injili pande za uhayani wasije wakashutuka mara baada ya kulitaja neno lenye herufi 4...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Ninaposikiliza majadiliano bungeni baadhi ya wabunge husema: "Mh Naibu wa spika........" na wengine "Mh Naibu spika......." Ni addressing ipi kati ya hizo ni sahihi? Mimi nilifikiri Naibu spika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wazungu walivyo koswa neno "any one" wakaiba neno la kijita "ANYONE" likiwa na maana ya "namimi" huku wao wakimaanisha "yeyote" hebu twmbie kikwenukwenu wameiba neno gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf. ktk pitapita zangu nimekutana na karatasi yenye maandishi yafutayo: "mpingo ndi anthua Mulungu-gulu la anthu owomboledwa; iwo amene amadziwa ndi kumkonda mulungu. Kuyambila kale...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimemiss hizi lugha, kwa anayejua French, Italian,Spanish and German..... tafadhali naomba tuchat.... nahisi nitazisahau... karibuni
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Mtaalamu wa masuala ya lugha, Bwana G.W. Broomfield aliandika haya mwaka 1930. Makala yake ilikuwa na kichwa: The Development of the Swahili Language. Hebu tusome na tutafakari kama sisi Waafrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia...
5 Reactions
40 Replies
7K Views
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
vigits=mambo vipi? guten morgan= za asubuhi danke= asante bitte=tafadhali ........ ongezea mengine
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Hili lina maana gani as far as wanandoa au wapenzi wapo concerned?ni kawaida kusikia yule jamaa ana gubu..linasababishwa na nini na inawezekana kujifahamu gubu lako mapema ukalishugulikia...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Nini maana ya commitment kwa kiswahili?
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Wadau wa lugha habari zenu? Lipo hili neno wadau.Silipendi na napinga sana matumizi yake hapa JF. Nimeona WanaJF wengi pale anaposifia kitu anasema: hatareeeee! Je, huyu anataka kusema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi) 2. 'Kuuza chai'(Kupiga stori hasa za kuchekesha/au sizizo za kweli) 3.'Nyanga'(Supplementary exams)...
7 Reactions
139 Replies
15K Views
Hivi ni kweli wasomi wa tanzaia hawajui matumizi ya 'S' na 'X' ????sababu imekuwa desturi sasa mtu tena msomi unakuta anaandisa xaxa badala ya sasa au axante badala ya asante ,,sasa hii huwa ni...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
ni nyama apewayo mchinjaji kama asante,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Mimi Nina asili ya Bara, na maneno yanayotamkwa Kwa mkazo na hasa yenye kuanzia herufi 'ku' zinanipa hisia kuwa ni aina Fulani ya kutukana. kwenye matangazo ya biashara ya Tigo Facebook...
0 Reactions
17 Replies
23K Views
Heshima mbele wakuu. Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu. ASANTENI SANA.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom