Ilikuwa ni mapema miaka ya 1980 matamshi ya maneno haya ya kiingereza
yalichekesha sana watu.
Foreign Affairs ilitamkwa Foleni ya viazi.
Petroleum Jelly ilitamkwa Petroli ya Mjeli.
Kwa sasa ni...
nimekutana na Uzi mmoja kwenye ili jukwaa mleta uzi MAKOLE amenigusa sana nitake kujua alivyo sema
[QUOTE=MAKOLE;10773
je wajua ni chuo kimoja tu ambacho kinaanza na
article "THE"...
Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani, walikuta Kiswahili kimeimarika na kutumika katika utawala na maeneo mengine.
Kwa kuwa nao walihitaji kutawala hivyo...
KWA UFUPI
Joseph: They're her cars/ they're hers. (ni magari yake (mwanamke/ni yake)
Katika somo lililopita tumeona jinsi ya kuuliza umiliki kwa kutumia WHOSE. Somo la leo litajikita katika...
KWA UFUPI
Dini: Dini ilichangia ueneaji wa lugha ya Kiswahili kupitia mawaidha na mafunzo ya madrasa. Waarabu walipokuja walitaka kueneza dini ya Kiislamu katika maeneo waliyofikia.
Katika...
Naomba mnisaidie niweze kukipata Kitabu hiki cha riwaya ya Kiswahili kiitwacho ASALI CHUNGU kilichoandikwa na Prof. Said A. Mohamed.
Niliwahi kuwa nacho lakini nilimwazima mtu na hakunirudishia...
Hiki kisa kinakuja, Ukae chini tulia,
Ni cha Sungura mmoja, hapa nawasimulia,
Ilikuwa siku moja, njaa imemshikia,
Njaa imemshikia, Sungura nawaambia!
Ni Sungura yule yule, aliyezizira ndizi!
Ni...
Inapotokea inawekwa mada ya Kiingereza humu kwenye majukwaa, basi inasusiwa kama Bunge la katiba na UKAWA! Mada hiyo hiyo ikiwekwa kwa lugha ya Kiswahili, basi watu wataichangamkia kama posho...
Wanajamii forum nimekuwa nikisumbua kichwa kuhusiana na Uwingi wa neno chupa huku nikikabiliana na maneno mawili ambayo ni VYUPA na neno CHUPA kama uwingi! hivyo naombeni mawazo yenu katika suala...
naomba sana wakuu mwenye kujua maana halisi ya neno kafir anieleze ,kama hujui pita zako ,nimekuwa nikikutanaro sana hasa humu JF lakini kwa bahati mbaya sielewi maana yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.