Kwa wataalamu wa Kiswahili

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
51
Wanajf wenzangu poleni na majukumu....Kwa wale wanaofahamu Kiswahili hasa upande wa viambishi, tafadhali naomba mnitajie kazi kumi za viambishi KA na KI.
 
  1. UTAKIKUTA........................KI HAPA IMETUMIKA KAMA UMOJA-----YAANI IDADI
  2. .............
  3. ...............
  4. ................

Maoni yangu tu.....maana nimeona post imedoda
 
  1. UTAKIKUTA........................KI HAPA IMETUMIKA KAMA UMOJA-----YAANI IDADI
  2. .............
  3. ...............
  4. ................

Maoni yangu tu.....maana nimeona post imedoda
Haya bwana, naona umepata cha kuongea ahsante.............................
 
KA- VILEVILE NI KIJENZI CHA KITENZI Mf. lia----------------------->kalia
kausha.----------------->kausha
 
  1. UTAKIKUTA........................KI HAPA IMETUMIKA KAMA UMOJA-----YAANI IDADI
  2. .............
  3. ...............
  4. ................

Maoni yangu tu.....maana nimeona post imedoda
Nataka kujua "a" imetumika kama kiambishi awali cha aina gani katika neno hili apa chini
AMAJI
A-MAJI
 
hapo mkuu kauliza kazi za kiambishi ki na ka

mfano. ki kinatumika kuonesha
kiambishi awali cha ngeli ya 4 umoja.
2. kiambishi kinachonesha masharti
3.kianesha kuonesha udogo wa kitu ama udogoishi mf kitoto
 
4. Kama kitenzi kisaidizi mfano; Chakula ki tayari
 
ka =hutumika katika udogoishi,mfano kasichana kazuri kamepita, KI hutumika kama kiambishi cha ngeli ya 4 ya KI _VI mfano kitabu kile kimechanika,pia ki hutumika kama kionyeshi mfano kisu kile,pia KI hutumika katika ukubwaishi ,mfano kiazi kikubwa,pia KI huonyesha urefu wa kitu,mfano kiatu kirefu,kisu kirefu.
 
Back
Top Bottom