Hivi maana halisi ya ujinga ni nini. Viashiria vya ujinga ni vipi ? Mtu anaweza kuitwa mjinga kuanzia umri gani? Mtoto mdogo anaweza kuitwa mjinga?....
Habari zenu ndugu zangu. kuwekua na matumizi makubwa sana ya neno NDIO na NDIYO hapa mjini hata humu jf pia, ningependa kujua kama kamusi inatambua neno NDIO au NDIYO.. pia hata neno "Ndiye"...
nimekuwa nikipenda kutumia kiswahili sana kwenye simu hasa katika miongozo mbalimbali katika simu, katika hali ya kustaajabisha, hasa pale ninapochagua lugha, ni dhahiri kuwa lugha ni utambulisho...
Nimeona kwenye vyombo vya habari kwamba jana ilikua ni 'siku ya kuzaliwa' ya Mh JK....Hongera Mh.
Nauliza swali ikiwa nilizaliwa siku ya Jumanne na tarehe ya kuzaliwa ikaangukia Jumamosi, hapo...
Sasa hivi kuna wanataaluma wabovu mno karibu katika kila fani:
Waalimu wabovu
Madaktari wabovu
Wahasibu wabovu
Watafiti wabovu
Na komesha ni waandishi wa habari - hawa ndo naona hata shule...
Moyo wangu ewe moyo, naomba sikiza sana,
Moyo ulinde unyayo, na njia zenye laana,
Moyo na uwe na mbuyo, bahari ni chafu sana,
Moyo sifanye uchoyo, mtoaji ni Rabana,
Moyo ninasema nawe, njano...
Duniani kuna mambo mengi sana , ambayo mengine ni kama vibaya kuhadithia kwa wengine kama labda ni wenyeji wa huko au labda kama wana mahusiano na kitu hicho inakuwa mbaya haswa kwa wale...
it's controversial in english gretings when we respond a question "how do you do" by "how do you do"........
example
good morning sir
good morning, how are you?
i'm fine.
how do you do?
how...
The article is too long, but you can read from the link below. I had actually argued here before that Kenyans are just as good in written Swahili but no one believed me. It turns out I was right...
Mara kwa mara nawaza ya kwamba hii lugha itaendelea vipi? Tayari imeharibika sana Kenya. itaendelea kwa nguvu kwa Tanzania? Itaenea Afrika Mashariki? Ama watu ya hii jumuiya watakiacha...
Nimekosa shule siku mbili, nilikuwa na msiba. Najaribu kujieleza kwa mwalim wangu wa darasa kwa kiingereza, SORRY MADAM,I WAS NOT PRESENT TWO DAYS BEFORE BECAUSE I WAS DIED. Ananicheka. Nauliza...
Mara nyingi nimejikuta nikishambuliwa na wadau kwa ajili sisi Wakenya hupenda kutumia lugha zetu za asili pamoja hata na Kingereza. Watu wengi hupenda kuniambia kwa kutokutumia Kiswahili sana, ina...
hello members, today I have a question concerning linguistics. as when it is referred to as a scientific study, it means that, it follows scientific procedures in solving linguistic problems. In...
Historia ya Kiswahili
Maeneo penye wasemaji wa Kiswahili
Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani la Afrika ya Mashariki.
Neno Swahili ni neno la asili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.