Kama unatoa hayo maneno kwenye maneno "uke" na "ume" si sahihi maana kwa kiswahili hatuna neno "ume" lunalojitegemea ila tuna neno "uume" na neno "uke" linajitegemea likimaanisha sehemu za siri za kike hivyo hatuwezi kuwa na "mwanauke".

Ni muendelezo wa mfumo dume, lakini ni kuwasitiri mama na dada zetu maana neno mwanauke kidogo linaleta ukakasi.
Yote mawili yanatumika maeneo na mada tofauti tofauti ndio maana imeulizwa.