Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,854
1)nilitembea porini,nilipo kwenda kuwinda,kwenye mbuga yenye nyoka.
Moyoni ninaamini,hakuna cha kunishinda,nnge swala pia nyoka.
Podo yangu mgongoni,na mshale ulopinda,haraka nikashituka.
Nilipo mi msituni,tena namuona simba,atembea akiimba.
2)sauti ilo makini,tasema tu wakiponda,wao chanzo haribika.
Wana mali majumbani,waliiba kikandanda,msone wacheka cheka.
Wanaroho za shetani,moyoni wana vidonda,karibia watatoka
Nilipo mi msituni,tena namuona simba,atembea akiimba
SHAIRI:NILIPOMUONA SIMBA..
MTUNZI:Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0655519736