Watangazaji wa Redio Maria mnaharibu Kiswahili

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,411
7,966
Watangazaji wa redio hii wanaharibu matamshi ya lugha ya kiswahili,"aya" wao wanatamka "haya","Redio Maria",wao wanatamka ledio malia,hebu jirekebishe
 
Utitiri wa vyombo vya habari na vyuo vya uandishi a habari visivyokidhi vigezo pamoja na kutokuwepo chombo cha kudhibiti uchafuzi wa lugha ndiyo chanzo cha hayo yote.
 
S
Utitiri wa vyombo vya habari na vyuo vya uandishi a habari visivyokidhi vigezo pamoja na kutokuwepo chombo cha kudhibiti uchafuzi wa lugha ndiyo chanzo cha hayo yote.
Sidhani kama vyuo vya uandishi wa habari vinastahili kupewa lawama hii,me nahisi ni kutokana na uelewa wa mwanafunzi/mtangazaji mwenyewe,maana hayo masuala ya R na L tunafundishwa tangia ngazi za Shule ya msingi kabisa
 
Radio Maria ilikuwepo zamani enzi za watangazaji akina Deo Chippa, Matthew Nkanyemka, Emmanuel Ngalapa, na wengine Fr. Camillius. Ya sasa ni utopolo mtupu
 
Back
Top Bottom