Je unajiweza kwenye Kiswahili? Jibu swali hili..

Waswahili/wenye kamusi njoeni mtusaidie,hilo swali lilitoka kwenye mock form4 2016
 
1. Chomoa kitu kikali toka alanine
2. Chukia so susia kitu toka moyoni
3. Nyama nono, nyeupe
4. Toa maji katika chombo , au kitu, kausha
5. Aina ya nyoka mkubwa

Hapo je?
 
1. Chomoa kitu kikali toka alanine
2. Chukia so susia kitu toka moyoni
3. Nyama nono, nyeupe
4. Toa maji katika chombo , au kitu, kausha
5. Aina ya nyoka mkubwa

Hapo je?
mi sijui,Haya majibu umeyatoa kwenye kamusi na alanine ina maana gan?
 
Back
Top Bottom