Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,837
- 50,541
Mara nyingi kwenye maongezi yetu mitaani huwa tunaongeza neno "Ga" ili kuonesha kuwa sentesi husika inamaanisha wakati uliopita. Kwa mfano "unakulaga" "anakujaga" "ninasemaga" na mengine mengi tu. Hivi hili neno "ga" lina asili na Kiswahili au vipi? Na ieleweke kuwa siulizi kama lina asili ya Kiswahili.
Nachukiaga sana watu wanaopenda kuchangia kwa kusomaga kichwa cha habari tu badala ya kusoma habari nzima ndipo wachangie!!
Nachukiaga sana watu wanaopenda kuchangia kwa kusomaga kichwa cha habari tu badala ya kusoma habari nzima ndipo wachangie!!