Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Vipimo vya kimila Kabla ya kuundwa kwa vipimo sanifu vya kimataifa (SI) kulikuwa na vipimo mbalimbali vya mjao vilivyo tofauti kati ya nchi na nchi. Vipimo vya Kiingereza Hadi leo vipimo vya...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanaJF, naomba msaada kwa anayejua maana halisi ya maneno haya. Kristo vs Kristu
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Karume alisema hatuwezi kuiacha nchi hivi hivi tu maana ndugu zetu wa zanzibar huko nyuma wamefirika sana. Yani mtu hata uchungu wa nchi hii hana eti anataka kua kiongozi "Alimalizia kwa kusema"
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Kuna misemo/nahau za kiswahili nahisi hazina nafasi tena. Hii inatokana na uhalisia wa kizazi na maisha ya sasa. Mfano alie juu mngoje chini/haraka haraka haina baraka, kwa kizazi cha sasa...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Hivi watanzania wanafikiria nini kujifunza maudhui ya Kiswahili kwa kutumia Kiingereza? Ni kama Mchina kuamua kijifunza maudhui ya Kichina kwa kutumia Kiswahili, sio uchizi huo? Au mwingireza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Samahan kwa kupost hii hojq humu.. Naomba mawazo yenyu Hivi neno SHILAWADU ambalo tumelitumia sana jamii forums na kibongobongo mitaani..Linafaa kuingia katika lugha ya kiswahili? Kuna uwezekano...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Hivi kinachowafanya wasanii wa kibongo kuonesha upungufu wa lugha kama vile ilivyo katika upungufu wa kinga mwilini ni nini? Yaani mtu anachafua lugha kwa kuchanganya Kiingereza na Kiswahili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HEKO MJAZA KURASA. 1)ole adharau mwiba,atapata maumivu. Ndogo hujaza kibaba,kubwa hushiba mashavu. Penati wameikaba,na kuzisahau nyavu. Heko mjaza kurasa,kwa kuwashinda magwiji. 2)fani hitaki...
0 Reactions
3 Replies
692 Views
Kifupishohuni KINAHARIBU BADALA YA KUBORESHA KISWAHILI Kifupishohuni ni neno linalotokana na maneno= -fupisha na -huni. Wingi wa Kifupishohuni ni Vifupishohuni. Sikuhizi kumekuwa na tabia ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nazungumza na kufunfisha lugha tajwa, kituo kipo Arusha ila ukihitaji kujifunza hata ukiwa mbali, inawezekana maana zipo attachment, na zitakusaidia kusoma online... Tuwasiliane 0746 30 70 70
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Am looking for a French translator, to translate some materials from Swahili/English - french, Kama ni wewe au unamjua mtu pls nipm contacts zake, Mercy b-asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rejea Kichwa Habari naomba tafsiri ya neno HODI kwa lugha ya Ki Ingereza. Nam shukuruni Karibuni.
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
Iwe kwa tungo tata, nahau, hadithi, ushairi, tenzi, ngano ama lolote liwe katika mapana yake kwenye uwanda wa Lugha, basi lugha yetu iwe moja #freemaxencemello .
1 Reactions
3 Replies
859 Views
Salamu wana JF. Hivi huwa tuko sahihi tunavyotumea neon Maliasili kumaanisha Natural Resource au tulipaswa kutumia maneno Rasilimali Asili? Wataalamu wa Kiswahili tafadhal
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Katika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya Kiarabu kwa miezi kadhaa sasa. Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu...
2 Reactions
38 Replies
16K Views
Wanajamvi naomba mwenye kujua anijuze kwa kiingereza kile kitu ambacho huwa kinaning'inia mwishoni mwa mkungu wa ndizi, ni cha rangi ya damu ya mzee ,mara nyingi baada ya ndizi kuchanua chane zake...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Salaam wana JF Tukiwa tumeingia mwezi wa mwisho kuhitimisha mwaka huu, ebu tukumbushane kauli, misemo na maneno yaliyojipatia umaarufu mkubwa kwa awamu hii kuanzia mwaka kipindi cha kampeni mwaka...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
#daaaaaa #mnaikumbuka lkn #Hii 1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…