Lugha zilianza vipi, ni jambo ambalo halifahamiki. Labda rejea pekee ni kwenye Biblia na kisa cha mnara wa babeli. Hakuna anayejua hasa, Adam na Eva walizungumza lugha gani. Huenda ni vigumu kujua...
Habar wakuu,natanguliza shukran zangu kwenu wana jamvi.naomba kujuzwa maana ya nahau izi (1)kaa chonjo (2)kaa mkao wakula (3)omba radhi (4)piga mayowe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja kwa moja kwenye mada;
Naombeni mnisaidie haya maneno nitayaandikaje kwa kifaransa,nataka nimtumie sms
"mapenzi ni kama ajali,huweza kutokea sehemu yeyote ile.Moyo wangu umejawa na furaha ya...
PAST CONTINUOUS TENSE (ULIOPITA HALI YA KUENDELEA)
Hii TENSE inahusisha tendo lililotendeka kwa wakati uliopita lakini bado tukio likiendelea kutendeka...
Kipi kiswahili fasaha cha kumwambia mtu aliyekutu ukamwitie mtu halafu huyo mtu uliotumwa hukumuona
Utakuja kumwambia jibu lipi kati ya haya hapa
(A) sikumuona
(b) sikumkuta
(c) nimemkuta hayupo...
COMENT CHOCHOTE HATA SHAIRI LENYE KULENGA UGUMU WA MAISHA, HALI HALISI MITAANI!
NAANZISHA :
Kifo cha maji kushoto,
Kulia Kifo cha moto:
Kukubali, kukataa,
Kila moja ni balaa!
Kote uko...
Habarini wana JF, Natumai ninyi ni wazima , naomba msaada kwa anaefahamu methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomuhusu mwanamke na maana zake, ASANTENI
Wakuu habari zenu,
Naomba mnijuze hili neno kapuku linamaana gani humu JF maana kule kwetu Nyamalonda neno kapuku mtu asiejua lolote yani yupo yupo tu.
Sasa wadau sielewi mnijuze.
Sent using...
habari za majukumu wapendwa! kama nitakuwa nimekosea jukwaa basi niwatake radhi kwanza.
ila kama ni sahihi basi niendelee na swala langu hili hapa chini.
neno "TOKA NJE au TOKA NDANI" huwa...
Hamjambo wana JF wenzangu?
Mimi nina swali, kama television huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi, je remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili?
Karibuni Saranga Dar!