Huwezi kuogopa kinyago ulichokichonga mwenyewe

Kitu ulichokiunda hakiwezi kukuzidi
Kwa mfano hii methali inaweza tumika kwa mzazi na mtoto au mwalimu na mwanafunzi au hata ktk siasa kwa mfano mtu alikuwa hohehahe akapewa shavu kubwa akaanza kwenda kinyume na aliye mpa shavu huyu anastahili kuambiwa maneno hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom