Msaada wa dharura wa kimapenzi

Msaada wa dharura wa kimapenzi

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,486
Moja kwa moja kwenye mada;
Naombeni mnisaidie haya maneno nitayaandikaje kwa kifaransa,nataka nimtumie sms
"mapenzi ni kama ajali,huweza kutokea sehemu yeyote ile.Moyo wangu umejawa na furaha ya kukupenda ghafla mara baada ya kukuona,uzuri wa umbo lako na sura yako ni wa kipekee sana.Hakuna mwanamke hata mmoja hapa tanzania wakuweza angalau kupapasia uzuri wako,nakupenda sana,wewe ndiyo mwisho wangu wa reli ya kigoma"
Naomba majibu
Ahsanteni wakuu,mkinisaidia lazima niende MAYOTTE kuipeperusha bendera,mtoto wa kifaransa lazima atambue uwezo wetu
 
Tumia google translate.
Huyo mtoto wa kifaransa Kigoma anapajua lakini ?
 
duuuuh utatuwkilisha vizuri ila hauna kibamia mkuu mana ilo nalo ni tatizo

ila akikupa mchezo piga cha jumla sio cha nusu wala robo
 
Moja kwa moja kwenye mada;
Naombeni mnisaidie haya maneno nitayaandikaje kwa kifaransa,nataka nimtumie sms
"mapenzi ni kama ajali,huweza kutokea sehemu yeyote ile.Moyo wangu umejawa na furaha ya kukupenda ghafla mara baada ya kukuona,uzuri wa umbo lako na sura yako ni wa kipekee sana.Hakuna mwanamke hata mmoja hapa tanzania wakuweza angalau kupapasia uzuri wako,nakupenda sana,wewe ndiyo mwisho wangu wa reli ya kigoma"
Naomba majibu
Ahsanteni wakuu,mkinisaidia lazima niende MAYOTTE kuipeperusha bendera,mtoto wa kifaransa lazima atambue uwezo wetu

hahahahahahahahaha mkuu umetisha
 
Daaa kuna kifarasa cha reli ya kigoma

the great
 
Kazi kweli kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20170730-WA0039.jpg
Kha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE SUI MADAM DU LOVE JE TEME DULE MOYO JE LE ME DU RELI DULA LA KIGOMA HAYA MRUSHIE AKICHOMOA NIAMBIE NIMVUTIE WAYA BENZEMA AOKOE JAHAZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom