Makabila ya marais wa zamani wa Tanzania

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
644
477
Nyerere: Mzanaki

Mwinyi: Mndengereko? Mnyamwezi?

Mkapa: Mmakua

Kikwete: Mkwere

Wazanzibari weusi nao sometimes wana asili ya sehemu fulani au kabila fulani.

Mfano kuna wazanzibari ambao mababu zao walikuwa watumwa wa kinyamwezi, kuna wengine walikuwa watumwa kutoka Tanga. Kuna wazanzibari wengine weusi ambao asili yao ni hapo hapo zanzibar. Kuna wengine walihamia wenyewe enzi za ukoloni.

Karume: Mmanyema? Mmalawi?

Jumbe: Juba, South Sudan (according to wikipedia).

Idris Abdul Wakil:

Salmin Amour:

Ali Shein: Sura yake inaonyesha kana kwamba ni mpemba au na mababu zake wa zamani walikuwa wadigo.

Nadhani it is interesting to know asili ya Mwinyi. Is it mndengereko au mnyamwezi au kwingine.

NB: Uzi huu una interest na marais wa zamani na sio rais wa sasa.
 
Hao hawakuwa marais wa Tanzania!
 
Mwinyi Baba Mndengereko mama Mzaramo. Alizaliwa wilaya ya Kisarawe. Jakaya Baba Mkwere Mama mzaramo.
 
Salmin Amour: Mrangi

Ali Shein na Dr. Omar Ali Juma (rip): kigoma-manyema/ waha
 
Back
Top Bottom