Jukwaa la Historia

On JF:

♋Ibrahim Traoré amekuwa kiongozi anayevutia vijana wengi barani Afrika kutokana na nafasi yake kama mfano wa mabadiliko ya kimfumo, hususan kwa nchi zinazokumbwa na changamoto za utawala, ukoloni...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Mnamo tarehe 12 Agosti 2000, nyambizi ya K-141 Kursk, nyambizi ya manowari ya Kirusi ya darasa la Oscar II, ilizama katika Bahari ya Barents, na kuua watu wote 118 waliokuwemo ndani. Ajali hiyo...
2 Reactions
2 Replies
416 Views
Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore. Oktoba 23, 1966. Wananchi, Jana tumefukuza...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
SIKU MOJA NA AHMED RAJAB MWALIMU WANGU NAIROBI Ahmed Rajab akinipa kazi si haba nyingine ''investigative'' na hapa akitaka sana kusoma ubongo wangu na fikra zangu kwa jambo fulani hizo hazichapwi...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Kisa cha mchezo wa kanyaboya ulioingia mjini miaka ya themanin nakitu mjini Dar na hususani sehemu za Kariakoo. Kwanza ni lazima niweke wazi maana ya neno hilo lilipotokea na kwanini...
3 Reactions
20 Replies
9K Views
MTU WA AJABU ALIYEKUWA NA PASI YA KUSAFIRIA YA NCHI ISIYOJULIKANA Katika historia ya visa vya ajabu na vya kutatanisha, kuna simulizi moja inayozua mshangao mkubwa – kisa cha mtu aliyesemekana...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina...
18 Reactions
37 Replies
8K Views
MTU WA AJABU ALIYEDAI KUTOKA NCHI ISIYOJULIKANA – LAXARIA Katika historia ya visa vya ajabu vinavyohusiana na watu wanaotokea katika maeneo yasiyojulikana, kuna kisa cha kushangaza cha mtu...
0 Reactions
4 Replies
562 Views
Jamani hii story niliwahi kuisikia kipindi cha Mtikila kuhusu Dola ya Bahima lakini historia yake hadi leo sijaifahamu ilianza mwaka gani, ni nani aliianzisha lakini pia ni wapi inapopatikana...
0 Reactions
31 Replies
17K Views
Jana, katika pitapita zangu nikifuatilia yanayoendelea Goma, nikakutana na maoni yenye kutaja kitabu kiitwacho Enduring Lies. Nikavutiwa nacho na nikaamua kukitafuta, bahati nzuri nikakipata...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Je, Tunaweza Kuweka Utamaduni Wetu hai
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Anaandika Mo Mlimwengu Ukisikia la mgambo ujue tayari kuna jambo, ni simanzi na majonzi kubwa kwa Namibia na bara la Afrika kuondokewa na mwanamapinduzi halisi. Sam Nojuma alizaliwa mnamo 12 Mei...
2 Reactions
3 Replies
541 Views
BURIANI MWALIMU AHMED RAJAB ULITOSOMESHA WENGI VIJANA KWA KALAMU NA SAUTI Naanzia wapi kumueleza Ahmed Rajab? Najiuliza. Nianze nyumbani kwa rafiki na ndugu yangu Ahmed Maulid Mwanadiplomasia...
17 Reactions
16 Replies
2K Views
KUMBUKUMBU YANGU NIKIANGALIA MAZIKO YA AHMED RAJAB Allah ana shani yake. Naangalia hii clip ya maziko ya Ahmed Rajab na imenirejesha nyuma na kunikumbusha mengi. Namuona hapo Talal mwanae...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Ngoja nikuelezee kwa ufupi, Mwezi Oktoba mwaka 1582 ulikuwa wa kipekee kwa sababu ya mabadiliko ya kalenda yaliyotokea. Huu ndio mwezi ambao Kalenda ya Kijuliani ilibadilishwa na Kalenda ya...
1 Reactions
2 Replies
478 Views
Kuna bustani moja katikati ya jiji la Dar es salaam (katikati ya barabara ya Samora, India na Mosque) maeneo ya clock tower. Ukifika katika bustani hiyo, kitu cha kwanza utakachokiona pale ni...
22 Reactions
300 Replies
87K Views
Fundi cherehani wa kwanza wa Kihindi huko Kisumu- Kenya mnamo 1890 ambaye alianzisha Mashine ya Kushona, jina lake lilikuwa Charan Singh . Wajaluo waliamua kuiita mashine hiyo CHARAN. Waganda...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF leo nimeona sio mbaya nikiwaletea hadithi fupi ya Mussa alivyo tumwa Kwa Firauni na Majibizano kati ya Mussa na Mungu wake juu ya mikakati ya kumkabili Firauni, Mungu...
2 Reactions
7 Replies
677 Views
https://youtu.be/7-aawj-gB-8?si=MdmVCSuiHMShsedm
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Back
Top Bottom