KUTOKA JAMES NGUGI HADI NGUGI WA THIONG’O
TOFAUTI YA ‘’JAMES’’ NA ‘’THIONG’O’’
Wengi wa kizazi kile ambacho Ngugi alianza kuandika tulimfahamu kwa jina la James Ngugi. Inawezekana sana wengi...
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiwatukuza wazungu kwa vitu vya ajabu ambavyo ukikaa na kutafakari utagundua kuwa na upuuzi mtupu.
Mi huwa najiuliza kuwa Columbus alipoenda America hakukuta watu...
Luteni wa jeshi la Uganda (UPDF) alivyo ziingiza vitani Tanzania na Uganda.
#Sehemu #ya - 1
Kuanzia leo nitawaletea makala mfululizo zinazohusu Vita ya Kagera kati ya Tanzania na Uganda...
Bingwa wa propaganda nchini Ujerumani wakati wa utawala wa Adolf Hitler alikuwa Joseph Goebbels. Alikuwa Waziri wa Propaganda wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi 1945.
Goebbels alihusika na...
Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo...
Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji.
Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho...
George Washington - 1st President of the United States
By Comred Mbwana Allyamtu.
George Washington, President of U.S. (National Archives)
As the first...
Aprili 11, 1909: Karibu familia 66 za Kiyahudi zilikusanyika kwenye matuta ya mchanga kaskazini mwa Yaffa ili kushiriki katika kugawanya shamba la ekari 12-tukio ambalo liliashiria kuanzishwa kwa...
Wayahudi hawakuwahi kuachana na Israeli - kumekuwa na uwepo unaoendelea kwa miaka 3000. Idadi yao ilikuwa kubwa kati ya wakazi wa Yerusalem katika zama zote. Walipungua kutokana na kukabiliwa na...
Paul Kagame, Rais wa Rwanda, anachukuliwa kuwa mmoja wa ma-genius wa kijeshi barani Afrika. Kuanzia msituni hadi ikulu, Kagame ameshinda vita ngumu na kubadilisha historia ya Afrika ya Kati kwa...
Idi Amin Dada Oumee alikuwa afisa wa kijeshi wa Uganda, bondia, na mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa rais wa tatu wa Uganda kuanzia 1971 hadi 1979. Amin alizaliwa Koboko kwa baba Kakwa na mama...
Huu Uzi Una kilomita nyingi lakini ni Mgodi unaotembea,kazi kwako ukutane nao au upishane nao!
Dola ya Uthmaniya ndio Dola kubwa kabisa na iliyodumu Kwa Mda mrefu zaidi Kati ya Dola zilizo...
Kuna rafiki zangu watu maarufu katika duru za Kiislam waliniomba niwapeleke kwa Hamza Aziz na ilikuwa katikati ya miaka ya 2000.
Nilimpigia simu na akatukaribisha nyumbani kwake nyumba ambayo...
Soloist International Mbaraka Mwinshehe Mwaruka.
1970 aliporudi kutoka Expo akakuta maneno Dar es Salaam kuwa Morogoro Jazz imependelewa kuchaguliwa kwenda Osaka. Mbaraka akawaambia wenzake kuwa...
HADITHI YA ALI WAWILI: ALI HASSAN MWINYI NA ALLY KLEIST SYKES
Majina yao yamefanana mtu na somo yake ila kila mmoja analiandika jina lake vingine.
Mimi na Hamza Aziz tulikuwa na Majlis yetu nje...
Nimejuana na Charles Hilary kwa kipindi kifupi sana Zanzibar.
Nilikwenda Zanzibar kuhudhuria Kumbukumbu ya Maalim Seif na pia kuhudhuria uzinduzi wa kitabu cha Zuhra Yunus, "Biubwa Amour Zahor...
Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Kutawala Afrika Upya
Na
Maleko Goodluck J
Wakati dunia inapoikumbuka Rwanda kama alama ya mauaji ya kimbari, kuna upande wa hadithi ambao haujawahi...
Tunaposema Kanisa Katoliki ( hapa nitaita tu kwa ujumla kanisa) lina utaratibu wake haimaanishi ni taratibu zilioibuka tu. Wengi ambao siyo Wakatoliki au hata Wakatoliki "lukewarm" wanaweza...
JE WAJUA?.
Pichani ni Aliyekuwa Makamwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Omar Ali Juma (Wa kwanza Kulia) akiteta Jambo na Rais wa Zamani wa Afrika ya...
Mwaka 1954, katika uwanja wa ndege wa Haneda, mjini Tokyo, Japan, mwanaume mmoja alifika kutoka Ulaya kwa ndege ya kimataifa. Alipofika kwenye kituo cha ukaguzi wa pasipoti, maafisa wa uhamiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.