Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 386
- 484
Habarini wakuu ningependa kujua sababu za ujenzi na upanuzi wa makazi ya wayahudi ambao kwa muda mrefu sasa umekua ukiendelea kama una majibu tafadhali naomba unielimishe nielewe.
Karibu na chato international airportHayo makazi ya wayahudi yako wapi hapa Tanganyika? Nijuzwe naomba!