Boriska: Binadamu anayedai kuwahi kuishi sayari ya Mars

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
cover-10.jpeg

Utakaposikia stori ya kijana Boriska Kipriyanovich anayeishi eneo liitwalo Volvograd nchini Urusi, unaweza usiamini hata kidogo, sanasana utamuona dogo huyu kama amechanganyikiwa.

Hebu sikia stori hii; Boriska anadai kwamba kabla ya kuzaliwa hapa duniani, amewahi kuishi kwenye Sayari ya Mars kwa miaka kibao na alikuwa rubani. Anaeleza kwamba kwa kipindi hicho, alikuwa anakuja duniani mara kwa mara, akiwa anaendesha ndege zinazotumika huko, ambazo kitaalamu huitwa spaceships.

Nikufafanulie kidogo hapo, spaceships, zimekuwa zikitajwa sana kuwa ni ndege zinazotumiwa na aliens, viumbe kutoka sayari nyingine kuja duniani.

Muundo wake siyo kama ndege hizi unazozijua, zinakuwa na mfano kama wa meli kubwa, zikiwa na vifaa vingi na mitambo ya nguvu, zikiwa na uwezo mkubwa wa kusafiri kutoka sayari moja hadi nyingine, ndani ya muda mfupi.

Tuendelee; Boriska anaeleza kwamba wakati fulani katika sayari hiyo ambayo wakazi wake wana miili mikubwa na wanavuta hewa ya Carbondioxide, kulitokea vita ya nyuklia kati ya pande mbili zilizokuwa zinakinzana, vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Ni vita hiyo ndiyo iliyoharibu kila kitu kwenye sayari hiyo, wakazi karibu wote wa Mars ambao huitwa ‘martians’ walikufa kwenye vita hiyo, wachache walionusurika, wakakimbilia kwenye sayari nyingine ikiwemo duniani.

Anafafanua zaidi kwamba, wapo ‘martians’ wachache ambao walijificha kwenye mahandaki wakati wa vita hiyo, wao walisalimika na kwamba baadaye, walianzisha upya maisha ambayo yanaendelea hadi leo, lakini siyo kwa kiwango kama kile kilichokuwepo kabla ya vita hiyo.

Ilikuwaje mpaka akafika duniani? Boriska anaeleza kwamba baada ya mabomu ya nyuklia kupigwa kwa wingi, hakuelewa tena kilichoendelea, hajui kama alikufa au ilikuwaje, lakini baadaye kumbukumbu zake zilipoanza kumjia, alijikuta akiwa duniani, tena mtoto mdogo.

Sasa sikia hii; Boriska alizaliwa nchini Urusi mwaka 1997 na mama yake ni daktari. Mwanamke huyo anaeleza kwamba mwanaye akiwa na umri wa siku 15 tu, alianza kuonesha mambo yasiyo ya kawaida, kwanza aliweza kunyanyua kichwa chake mwenyewe bila msaada wa mtu yeyote, jambo ambalo haliwezekani kwa watoto wenye umri huo.

Baadaye, alianza kuonesha mambo mengine makubwa kuliko umri wake na alipofikisha umri wa mwaka mmoja na nusu, tayari alikuwa anaweza kuzungumza maneno yote, alikuwa anaweza kusoma, kuhesabu na kuchora!

“Tulipompeleka chekechekea, siku chache baadaye walimu wake walituambia kwamba ‘ha-fit’ kusoma chekechea kwa sababu anajua mambo mengi mno,” alinukuliwa mama yake.
teaserbreit.jpg

Ilibidi wamrudishe nyumbani na kusubiri aongezeke kidogo kimo kwa sababu umri wake ulikuwa mdogo sana kumpeleka shule za wakubwa. Akiwa nyumbani, alianza kuonesha kuvutiwa sana na elimu ya anga za mbali, baadaye alipelekwa shule za kawaida ambako nako walimu walimuelezea kwamba ni ‘super intelligent’.

“Miaka kadhaa baadaye, ndipo alipoanza kueleza kwamba eti amewahi kuishi Mars na kusimulia haya anayoyasimulia leo. Hatujawahi kumfundisha chochote kuhusu Mars na hata walimu wake wanasema hawajawahi kumfundisha chochote kuhusu elimu ya anga,” aliongeza mama yake.

Kubwa kuliko; Boriska akiwa amefikisha umri wa miaka 11, amewahi kuelezea kuhusu mapiramidi ya Misri akililenga zaidi lile la The Great Sphinx of Giza. Katika maelezo yake, alinukuliwa akisema kwamba sanamu hilo kubwa zaidi duniani kuwahi kuchongwa kwa jiwe moja, lina siri kubwa ndani yake ambayo siku ikigunduliwa, itabadilisha kabisa maisha ya binadamu wote waliopo duniani.

Akaongeza kwamba ili kulifungua, kuna alama maalum chini ya moja ya sikio la sanamu hilo na kwamba Wamisri walikuwa na uhusiano mzuri kwa miaka mingi na alliens. Miaka michache baadaye, wanasayansi waligundua kwamba ni kweli chini ya sikio moja la sanamu hiyo, kuna kitu kisicho cha kawaida kinachoweza kufananishwa na ufunguo.

Mpaka hapo unaamini Boriska amechanganyikiwa au anasema kweli? Majibu bado hayajapatikana. Kwa sasa ana umri wa miaka 22.

View attachment 1043226

“Tulipompeleka chekechekea, siku chache baadaye walimu wake walituambia kwamba ‘ha-fit’ kusoma chekechea kwa sababu anajua mambo mengi mno,” alinukuliwa mama yake.View attachment 1043228

Hashtag#chai
Hashtag#kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo warusi walevi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pengine kweli sasa dogo asubuhi huenda alikuwa anapewa Vodka kama breakfast unategemea nini ?

Ila dunia ina mengi pia sio ajabu ni kweli ..mfano hawa watu wanao explore hizo sayari nyingine siku inatokea vita ya nuclear dunia hii wao watakuwa salama kwa kuanziasha makao mapya huko

Mkuu Dah! Kweli Yaliyomo Yamo. Hata ntaweza kuamin waafrika tulitokana na sokwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni story kama story zingine tuu, yeye anadai alipotea wakati wa vita ya nyuklia. Then, anaongelea yaliyoktokea baada ya hiyo vita. Yeye kajuaje yaliyotokea baada ya vita ya nyuklia, wakati vita ya nyuklia ilishampoteza.?
Wanyooshe maelezo tu.
 
Ni perception yako mkuu
 
Back
Top Bottom