Jukwaa la Historia

On JF:

PART 1 : JEWISH DIASPORA Ni matumaini yangu mwana JF mwenzangu kuwa u mzima wa afya. Nataka nikuletee kwa ufupi hii mada inayosumbua ulimwengu wa leo Kwanza tutaanzia mwanzo kbs kwenye zama za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu hii clip ya Rais Magufuli akinywa madafu Odeon Cinema imenikumbusha mbali sana. Kwanza imenikumbusha jengo la senema yenyewe ambayo sisi tumezaliwa tumeikuta na umaarufu wake kwa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Abdulkarim Karimjee (kushoto) akiwa na afisa raia wa uimgereza UKUMBI wa bunge uliokuwa unatumika jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Dodoma unaitwa Karimjee Hall. Kwa kifupi, majina hayo...
9 Reactions
16 Replies
7K Views
NA Sanamu ya Dr. David Livingstone Hii picha ya kuchora hapo ni Ujiji inaonyesha Dr. David Livingstone alipokutana na Henry Morton Stanley tarehe 10 November, 1871. Karibu ya Glasgow kuna...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Wao wanazungumza Maa, mojawapo ya familia ya lugha za Kinilo-Sahara inayohusiana na Kidinka na Kinuer. Kwa sababu ya uhamiaji, Wamasai ni wazungumzaji wa Kiniloti wa Kusini zaidi. Pia wameelimika...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Aliteuliwa na Ibn Malik kuwa Mtawala mwaka 694H kutoka ktka familia ya Ban Umayda. Huyu alikuwa ni mtawala wa eneo la Iraq na Iran hususani katika miji ya Kuffah, Sham na Basra. Maajabu ya huyu...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanabodi, Kwanza naomba nianze kwa kumuombea rais wetu umri mrefu na nguvu za kuweza kuchapa kazi bila kuyumbishwa na vibaraka wa mabeberu bila kusikiliza kauli za wanaotaka kutuingiza...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hawa ni Wanandoa ambao waliishi katika himaya ya Ottoman huko Uturuki katika miaka ya 1500 Rustem Pasha alifariki akiwa na miaka 61 na Mihrma Sultan mtoto wa Sultan The magnificent alifariki...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Unajua Kwanini Wachagga Hawali Muhogo? Na Mwandishi Wetu WACHAGGA ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi au kaskazini mwa Tanzania kandokando ya Mlima Kilimanjaro, huku mkoa wao...
5 Reactions
42 Replies
17K Views
Ali Mahfoudh na Samora Machel baada ya ukombozi wa Msumbiji Ali Mahfoudh, Samora Machel na Julius Nyerere wakati wa mapambano ya kuiomboa Msumbiji, Mahfoudh anampa Nyerere taarifa za vita...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Ukisikia jina la Ernesto che guevera… kama wewe ni mhenga , msomi mzuri wa historia au mtu ambaye anapenda kujipatika elumu katika mambo mbalimbali hasa ya kisiasa akili yako haraka sana...
7 Reactions
46 Replies
10K Views
Nimefuatilia baadhi ya hotuba za rais Magufuli, Hotuba hizo zipo "vague" na zimekosa coherent na mvuto kwa wananchi wengi isipokuwa kwa wachache walio makada wa CCM wanaojilazimisha kufurahia...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwl J.K Nyerere, muasisi wa taifa hili na amani tuliyonayo hadi leo hii. Japo alichemka kidogo kwenye siasa ya ujamaa na kujitegenea lakini alikuwa analitakia mema taifa hili. Hakukuwa na ufisadi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya vita ya pili ya dunia Uingereza ilipata upungufu mkubwa sana wa mafuta ya kupikia hivyo wakafanya mpango wa kulima karanga ili kutengeneza mafuta. Hapo ndiyo ikazaliwa Tanganyika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimetafakari sana kuhusu suala hilo. Wajuvi wa historia mnijuze hasa sarafu iliyotumiwa na ndugu zetu wazanzibar kabla ya Muungano na Tanganyika
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kati ya miji tajika katika pwani, Malindi ni moja wapo wa miji yenye historia kubwa baada ya miji kama Zanzibar na Mombasa. Inakisiwa kuuanzishwa karne ya kumi na tatu, ikiwa katika dola ya...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
VITA Kuu ya Kwanza ya Dunia (WWI), ilianzia na kuhusisha mataifa ya Ulaya lakini ikasambaa ulimwenguni kote. Vita hii ilianza Julai 28, 1914 na kufikia tamati Novemba 11, 1918. Tangu kuanza kwa...
7 Reactions
45 Replies
25K Views
Kila nikiwaona watu wa dini wananikumbusha namna ukoloni ulivyofika Afrika ikiwemo Tanzania. Hawa ni watu ambao walikuja Kwanza kabla ya wakoloni (wanyonyaji) kufika na kuua machifu wetu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Marie Aude mama wa Kifaransa Mkurugenzi wa French- Institute for Research in Africa (IFRA) Nairobi alinialika mkutano Nairobi na ‘’theme’’ ya mkutano ule ilikuwa miaka 50 ya kuwakumbuka mashujaa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
SAMWELI DANIEL SHAFIIHUNA NUJONA- "SAM NUJONA" Barabara na mitaa mingi nchuni hasa Dar-es-Salam "zimebatizwa"majina ya watu mashuhuri nyakati za ukombozi wa kupigania uhuru wa Afrika mfano Bibi...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom