Jukwaa la Historia

On JF:

Ugeni wa SADC ni wetu sote na tunaupenda sana Sisi Watanzania, lakini kamati ya mapokezi fanyeni kila kitu kinachowezekana ili msisababishe foleni ndefu za muda mrefu njiani Kwa wananchi wenzenu...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
" Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu). Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa...
1 Reactions
36 Replies
12K Views
Sultani Abdulrauf Songea Mbano Kibao kimeandika jina lake kama ''Lwafu'' Nduna Mbano Kaburi la Sultani Abdulrauf Songea Mbano Kwa miaka mingi sana na hadi leo jina la Sultani wa Wangoni...
10 Reactions
252 Replies
35K Views
Warangi ni moja ya makabila ya Kibantu. Pia huwekwa kwenye kundi la Wabantu lijulikanalo kama kundi la Niger-Congo. Kabila la Warangi lilianza lini, bado ni suala la mdahalo kwani wanasayansi wa...
1 Reactions
15 Replies
20K Views
KITABU NILICHOSOMA: WATU MASHUHURU KATIKA UHURU WA TANGANYIKA Na Hafidh Kido Hafidh Kido akipokea kitabu kutoka kwa Mwandishi KATIKA jamii tuliyonayo hatuna budi kusoma maandishi yoyote kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
''Kila chini ya paa la nyumba kuna historia,'' maneno haya aliniambia Dome Okochi Budohi mwaka wa 1972 nyumbani kwake Ruiru, nje kidogo ya Nairobi. Hapo juu ni picha ya Ring Street na Upanga Road...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Tuesday, 20 December 2016 TAMTHILIA YA BIBI TITI MOHAMED NA PROF. EMMANUEL MBOGO Hapo chini ni kidokezo kaniandikia rafiki yangu Tamim Faraj kuhusu kitabu cha Bi. Titi Mohamed ambacho alikuwa...
17 Reactions
93 Replies
22K Views
..katika kupekua-pekua kwenye mtandao nimekutana na kipande cha historia. ..Morogoro ndiyo makao makuu ya kwanza ya ANC uhamishoni. ..hii ni kabla ya ANC kuhamia Lusaka. ..makao makuu ya...
4 Reactions
6 Replies
6K Views
Nimemjua Prof. Kighoma Ali Malima katika siku zake za mwisho wa maisha yake na nilijifunza mengi kutoka kwake kuhusu hali ya Waislam toka tupate uhuru mwaka wa 1961. Nilipoandika kitabu cha Abdul...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
1.Aliwahi kuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu nchini Uganda mwaka 1960-1961 2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa...
14 Reactions
40 Replies
17K Views
(SEHEMU YA KWANZA) ADHABU MBAYA NA HATARI SANA KUWAHI KUTOLEWA DUNIANI KATIKA UTAWALA WA UAJEMI Kumekuwepo na adhabu nyingi kutolewa katika hiki kipindi chetu (Dunia ya sasa) ambazo watu wengi...
5 Reactions
30 Replies
10K Views
DOWN MEMORY LANE... Kushoto Salim Himid na Sal Davis (Shariff Salim Abdallah) Hii ni historia ya Msikiti Mkuu wa Paris ambao wenyewe wanauita Grande Mosquee de Paris na ni msikiti wenye mengi...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Kutoka kushoto 1. Salim Ahmed Salim 2. Joseph Sinde Warioba 3. Rashid Mfaume Kawawa 4. Mwl. Julius Kambarage Nyerere 5. Ali Hassan Mwinyi 6. Abdul Wakil 7.Maalim Seif Hamad
16 Reactions
22 Replies
5K Views
KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953 SEHEMU YA KWANZA Kushoto Ally Sykes na Abdulwahid Sykes katika uniform za...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja ya dollar alizopewa na Americans baada ya kuteka ndege 1971 na kupotelea kusiko julikana wala dollar hazijawahi onekana kwene system since then
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia kipindi maalum cha mashujaa kwenye television ya ITV. Wameonyesha vita ya Uganda na siku ya mashujaa baada ya vita hiyo. Nimekuwa nikifuatilia sana vita hii, kujua sababu yake...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Shajara ya Mwana-Mzizima No. 3 iko njiani inakuja. Cover ya kitabu hiki kwa hakika inavutia kwani inamwonyesha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ameshika bango lisemalo, ''Uhuru...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wengi wenu mlikuwa hamjazaliwa wengine ndiyo tulikuwa tunaanza kutumia bidhaa za Tanzania Elimu Supply. Mkienda Saba Saba Grounds ni sehemu ya shopping ya shule hasa kwa dada na kaka zetu.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa sasa Tanzania mikogo na madaha ya wanasiasa na hata viongozi mbali mbali wanatumia ununuzi wa ndege kama mafanikio ya Rais Magufuli. Je, ni kweli kuwa serikali zilizopita hususani ya nne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KARIBUNI TANZANIA WAGENI WETU KUTOKA SADC. Leo 13:15pm,04/08/2019. Karibuni Tanzania,ardhi ya Kilimanjaro,Zanzibar na Serengeti, ardhi yenye mbuga kubwa barani Afrika,Mbuga ya Selous,Taifa la...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Back
Top Bottom