Jukwaa la Historia

On JF:

CHAGGA DAY TUIKUMBUKE SIKU HII KWA KUREJEA KATIKA MAISHA YA RAJABU IBRAHIM KIRAMA NA BABA YAKE MURO MBOYO KATIKA MIAKA YA 1800 Chagga Day ni siku iliyokuwa ikiadhimishwa kila mwaka ifikapo...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
I have before looked into ancient history of Tanzania and Arabic history of Tanzania, but I am very curious to what I can find out from people who are more adept in the subject. Does anyone know...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hotuba ya Martin Luther King ya "I have a dream", akitaka usawa kati ya jamii zote nchini Marekani, ni mojawapo ya hotuba za kutia moyo, zenye ushawishi na maarufu nyakati za kisasa. Lakini leo...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Unaposoma Bayographia ya Mwalimu iliyotayarishwa na wanazuoni watatu ukurasa wa 125 hadi 126 kuna simulizi fupi ifuatayo Mwanzoni mwa miaka ya 80 kulikuwa na tatizo la baadhi ya wamiliki wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
MACHACHE KUHUSU BABU YANGU SALUM ABDALLAH Hiyo picha ya Loco Shed Tabora hapo chini ndipo akifanya kazi babu yangu Salum Abdallah maarufu Baba Popo kuanzia 1947 had 1964. Alihamia Tabora kutoka...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Majina mengi ya wangoni yanafanana na majina ya wanyama. Kwa mfano; Mapunda ni jina lenye "punda" Komba ni jina lenye "komba" Ngonyani ni jina lenye "nyani" Mapunda ni jina lenye "punda" Kuna...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Eleanor Lowthian Clay on her wedding day to Edsel Bryant Ford, son of Henry Ford. 1916.
11 Reactions
124 Replies
8K Views
Pichani ni aliyekuwa mshauri mkuu wa rais wa Zaire kwa sasa DRC MOBUTU SESESEKO. Wakati wa Utawala wa Mobutu huyu mzee alikuwa mtu wake wa karibu sana na alikuwa na kazi ya kumpa ushauri ambapo...
27 Reactions
78 Replies
13K Views
MOHAMED SHOMVI MLIMANI TV NA MOHAMED SAID: SIKUKUU ZA KUMBUKUMBU Leo asubuhi nilialikwa Mlimani TV kwa ajili ya mazungumzo kuhusu sikukuu za kumbukumbu na maadhimisho ya kitaifa. Mtangazaji...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Historia ya mapinduzi si historia nyepesi:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wazee wa Dar es Salaam katika Baraza la Wazee wa TANU na Mwalimu Julius Nyerere katika Uchaguzi Mkuu wa 1962. Masikitiko ni kuwa mashujaa hawa hadi leo nchi haijawatambua isipokuwa Nyerere peke...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio...
5 Reactions
30 Replies
13K Views
KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika...
7 Reactions
59 Replies
12K Views
Kumbukizi Ya Maisha Ya Maalim Seif imeandikwa na Profesa Ibrahim Haroun Lipumba. SEHEMU YA KWANZA BURIANI KAKA YANGU MAALIM SEIF SHARIF HAMAD SEHEMU YA KWANZA: NILIVYOKUTANA NA MAALIM SEIF...
9 Reactions
46 Replies
8K Views
Walinzi wa Rais Mobutu Sese Seko wakiongozwa na ma-bodyguard Colonel Motoko na Major Ngani walivyoweza kumuokoa Mobutu asikamatwe na askari waasi waliokuwa wameuzingira mjini mkuu wa Zaire wa...
3 Reactions
10 Replies
9K Views
Mnamo mwaka 1986 rais wa zaire marechal mobutu sese seko anaamua kuunda kikosi maalumu cha ulinzi wake binafsi kilichojulikana kama Division Spéciale Présidentielle (special presidential division/...
16 Reactions
132 Replies
22K Views
''TRAGIC COMEDY'' WAKO WATAKAOCHEKA WAKO WATAKAOLIA Kwa umri wangu huu baada ya kula chakula cha mchana kitanda kinaniita kujipumzisha kidogo. Lakini kama kawaida kutakuwa na hiki au kile mtu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom