Wahenga, tuwakumbuke watangazaji wetu RTD

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio zilizotumiaka alimaarufu kama redio za phillps na national na panasonic na Nationalpanasonic (National na National panasonic ni kitu kimoja) au maarufu kwa jina la dudu proof

Orodha ya Majina haya hapa, wewe unamkumbuka nani?

Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari na Mazungumzo baada ya habari
Abisai Steven
Abou Liongo–Michezo
Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
Ahmed Kipozi–Mpira
Alex Malumwene
Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
Bakari Msulwa- Salam
Barbabas Mluge
Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – Wakati wa Kazi
Bazir Mbakile
Ben Mwang’onda
Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. – Enzi za vita ya Nduli
Benjamin Rwegasila
Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
Bujago Izengo wa Kadago
Charles Hillary–Mpira
Chillambo Dominic—Mpira
Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
Chriss Katembo
Christina Chokunogela
David Wakati–Duniani Wiki Hii
Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
Dominic Chilambo- Mpira
Edda Sanga
Fauziah Ismal-Habari
Hannah Gogo Mayige-Habari
Harid Ponela – club raha leo show
Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
Henry Michael Libuda- Misakato
Iddi Rashid Mchata
Idrisa Sadala
Jacob Tesha–Habari
Japhet Muura.
Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
Juma Ngondai
Khalid Ponera- Zilipendwa
Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
Malima Nderema
Mariam Shabba–Mambo ya jamii
Martha Ngwira
Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
Mohamed Abdullhamaan–Michezo
Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
Mshindo Mkeyenge—Michezo, Mpira
Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
Nazir Mayoka–Mpira
Neema Kipungahelo
Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
Paschal Mayalla–Habari
Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
Peter Msungu–Mbili Kasoro
Rashid Mchata
Restuta Bukoli
Richard Leo
Rochus Matipa – External Service RTD
Rose Haji
Salama Mfamao
Salim Mbonde–Mpira
Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
Sango Kipozi–Habari
Sara Dumba–Mama na Mwana
Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
Sekioni Kitojo–Michezo
Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
Selemani Mkufya
Simba Nyamaume–Majira
Siwatu Luwanda–Habari
Stan (Stanslaus) Katabalo – Majira
Suedi Mwinyi
Suleiman Hega
Suleiman Kumchaya
Suleiman Muhogora
Titus Philipo
Titus Stephen
Tumbo Risasi – Kigoma
Zainab Bakilana
 
Halima mchuka..michezo......ndiku...ndiku....ndiku...ndiku mana goooooooo
 
Uzi kama huu umewekwa siku nyingi humuhumu JF
Tuwakumbuke Watangazaji Wa Zamani wa Iliyokuwa RTD Waliotangulia Mbele ya Haki!

Passion
 
Kweli mkuu umenikumbusha mbali sana!!

Enzi hizi redio ni ama National Panasonic au Phillips na betri za kuanika au kuunganisha. Enzi hizo Mwl akihutubia wote tunakusanyika kusikia maelekezo

Cairo's
Hakika, wananchi wote tulikuwa na tabia moja.
 
Aisee umewakumbuka wote hao!! Ila Betty Mkwasa namkumbua zaidi kwa jina la Betty Chalamila akiwa RTD kabla hajawa Mrs Mkwasa, David wakati na sauti yake nzito ya kimadaraka namkumbuka zaidi kwa kipindi kile cha jumapili saa nane mchana kukiitwa Nipe habari. Bila kuwasahau wazee wa OB VAN Ally Said Tunku, Noel Namalowe nk.
 
Siku hizi kila mwenye koromeo lenye sauti naye anajiita eti mtangazaji; kweli fani imevamiwa hii.
 
TANZIA: Mtangazaji wa zamani maarufu na gwiji la kutangaza kandanda Ahmed Jongo amefariki dunia leo, Jumapili.

> Nguli huyo wa utangazaji wa Redio Tanzania kwa sasa TBC, alistaafu mwaka 2005 .

======

Ahmed Jongo aliwahi kuomba msaada wa matibabu kupitia vyombo vya habari

> Alikuwa akisumbuliwa na miguu na macho

P
 
Siku hizi kila mwenye koromeo lenye sauti naye anajiita eti mtangazaji; kweli fani imevamiwa hii.
Fani imevamiwa haswa. Zamani kabla ya kuwa mtangazaji wa redio lazima ukapikwe hhaswa, tena unaenda kupikwa ktk taasisi zilizobobea ktk ufundishaji wa habari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom