Jukwaa la Historia

On JF:

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA MADAFU YA ODEON CINEMA Ndugu zangu hii clip ya Rais Magufuli akinywa madafu Odeon Cinema imenikumbusha mbali sana. Kwanza imenikumbusha jengo la senema yenyewe ambayo...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Somo yangu Mohammed Ghassani kaandika anasema, ''Japokuwa aliondoka duniani akiwa hajawahi kuwa rais wa serikali, hilo halikumnyima nafasi yake ya kuwa baba wa utaifa wa Zanzibar - alama kamili ya...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
JUMBA LA USHIRIKA UKILITAZAMA KUTOKA MTAA WA LIVINGSTONE 1960s Nikiangalia hii picha inanikumbusha mbali mwaka wa 1964. Nyumba hiyo iliyoko Mtaa wa Livingstone na aina ya nyumba hizo hazipo tena...
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Today in Black History!!! Very Interesting!!! Did you know Cornrows were used to help slaves escape slavery? Slaves used cornrows to transfer information and create maps to the north. Since...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
SAL DAVIS "UNCHAIN MY HEART" KATIKA FM STATION SWEDEN One day I was sitting talking with my friends at our baraza and there suddenly standing in front of my table facing me was none other than my...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
SAL DAVIS 1963 One day Tom Mboya rang me and asked me to go and see him. Tom Mboya came to England in 1957 to study at Ruskin College, Oxford the same year I came to England. Tom Mboya was...
1 Reactions
0 Replies
897 Views
Jina lake halisi ni Thomas Fuller, Mwafrika aliyezaliwa huko Benin mwaka 1710 na kuuzwa utumwani huko Alexandria,Virginia USA mwaka 1724 akiwa na mika 14. Alipewa jina la "Virginia Calculator"...
8 Reactions
19 Replies
4K Views
MAZIKO YA BI SAFIA BINT JUMA MAKASARA MAMA YAKE BALOZI DR. RAMADHANI KITWANA DAU YAMEVUNJA REKODI YA MAZIKO YOTE Mji wa Dar es Salaam una historia ndefu ya mazishi makubwa yaliyopata kutokea...
14 Reactions
59 Replies
8K Views
Mara baada ya Mtemi Mirambo kuvamia Wanyaturu na Wakimbu, mtemi Mirambo aliamua kuwavamia Wafipa. Historia inasema kuwa, kulikuwa na baadhi ya wafanyabishara kutoka katika ardhi ya Ufipa...
8 Reactions
15 Replies
5K Views
Misri ni maarufu kwa piramidi zake kubwa, miili iliyozikwa ndani yake na hazina zake za dhahabu. Lakini ni kiasi gani tunajua kuhusu Misri ya kale? Je, Piramidi Kuu ilijengwa na watumwa? Maiti...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Historia inaonesha kuwa uwanja wa ndege wa kwanza wa jiji la Dar es Salaam uliojengwa wakati wa ukoloni ulikuwa pembezoni ya bahari kati ya eneo la Feri na ufuo karibu na Kanisa Kuu la Mtakatifu...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
KUMBUKUMBU YA KESI YA SHEIKH PONDA MOROGORO 2015 ''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa. Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na ustahamilivu kwa ajili ya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
HATUA ZANGU CHACHE PEMBENI YA ABDILATIF ABDALLA, UINGEREZA, UJERUMANI NA KENYA Utangulizi Hii makala niliandika mwaka jana tarehe kama ya leo. Naona kuna machache ningependa wasomaji wangu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
KUMBUKUMBU ZA UHURU: ABBAS MAX WA IRINGA (1918 - 1993) Abbas Max ana historia ya kusisimua sana kama ilivyo kwa wazalendo wengi waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini kwa bahati mbaya historia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
ZUHRA YUNUS, BBC, NA MAGOMENI MAPIPA Ilikuwa Zuhra Yunus anaondoka BBC sasa ishakuwa Zuhra kaondoka. Labda nianze kwa kusema kuwa nina ''sentiments,'' mapenzi na BBC Idhaa ya Kiswahili toka...
13 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom