Frank and His Sisters LP
The world’s first collection of gorgeous pop songs from Frank and His Sisters, a family band from Moshi, Tanzania. Formed in the early 1950s by Frank Humplick, Thecla...
Nikikumbuka hii Movement huwa numia sana, ni bahati Mbaya sana Watanzania sisi hatuamini kwenye umoja na hii ndo changamoto kubwa sana inayo tukumbuka.
Hii movement ilikuwa na nguvu sana sema...
History ya nchi zetu inashangaza sana.
Cha ajabu Sisi wenyewe hatuchimbi history vizuri.
Around mwaka 1830 wakati Sultan wa Oman anaamua kuwa Zanzibar itakuwa second capital baada ya Muscat. Na...
Habari wakuu,
Kwa uchache nataka niwape historia fupi ya watu ambao ni katili na bado historia zao zinakumbukwa mpaka leo.
Dunia imewahi kukaliwa na watu mbali mbali. Wapo wanaozungumzwa kwa...
Prof. Kighoma Ali Malima 1985
On Sunday 17 July, 1995, 37 years since TANU held its 1958 annual meeting in Tabora the meeting which paved the way to independence, Prof. Malima addressed a big...
KWA NINI BENJAMIN MKAPA ALISHINDWA KUCHAPA TAAZIA YA ABDUL SYKES KATIKA THE NATIONALIST BRENDON GRIMSHAW AKACHAPA "OBITUARY" YA ABDUL SYKES KATIKA SUNDAY NEWS (TANGANYIKA STANDARD)?
Mgogoro wa...
Nawatakeni radhi wasomaji wangu kwa kuandika kwa Kiingereza na Kiswahili:
RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS
''Leo Chungu Tatu Ramadhan 1436 Dhuhr imenikuta Ubungo/Mandela.
Takbir...
Tarehe 05 mwezi Februari mwaka 1997 ilikuwa siku muhimu yenye matukio ya kufurahisha na kuhuzunisha. Kabla haujayapitia hayo matukio matatu, Kumbuka siku hii chama cha TANU na ASP viliungana na...
KUMBUKUMBU KUTOKA KIJIJI CHA DAVID LIVINGSTONE BLANTYRE, GLASGOW SCOTLAND 1991
Hayo niliyoandika hapo chini nimemwandikia rafiki yangu Dr. Harith Ghassany mwandishi wa kitabu maarufu, ''Kwaheri...
Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika:
Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu...
Shariff Abdalla Attas
(Picha kwa hisani ya Bwana Shomari)
Sie wengine tumekuja kumjua Shariff Abdallah Attas katika utu uzima wake akikaa Mtaa wa Twiga na Sikukuu nyumba yake mkabala na Msikiti...
Chief Michael Lukumbuzya wa Ukerewe
Nilikuwa naitafuta picha ya hayati Chief Michael Lukumbuzya kwa miaka mingi bila mafanikio. Sababu ya kuitafuta picha ya Chief Lukumbuzya ni kisa...
KWA NINI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNYANYUA KALAMU KUANDIKA MAISHA YAKE?
Naikumbuka siku hii kama jana vile.
Niko nje ya mipaka ya Tanzania ni nyakati za usiku niko kwa...
Habari wanaJF,
Naangalia Tanzania Safari Channel, msimulizi anasemaje Wandali na Wanyakyusa walitokea Kongo. Walipita Morogoro na milima ya Livingstone mpaka Rungwe, wajuzi wa historia hii...
MOHAMED SHEBE CAMERA YAKE NDIYO ILIYOTUHIFADHIA HISTORIA YA TANU, MWALIMU NYERERE NA UHURU WA TANGANYIKA
Picha hiyo hapo chini inamuonyesha Mohamed Shebe kushoto na anaefuatia ni John Rupia na...
WAZULU WA IMHAMBANE, MOZAMBIQUE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Kisa hiki nimekitoa hapa hapa barzani nikizungumza na ndugu yangu Abdulkarim.
"Abdulkarim, jina hasa ni Saudtz Thomas...
MTO KONGO
Afrika ni moja kati ya mabara ambalo limebarikiwa sana kuwa na vivutio vya aina mbalimbali. Moja kati ya vivutio hivyo ni Mto Kongo. Mto Kongo ni mto wa pili kwa urefu barani Afrika...
THE PIONEER OF THE EAST AFRICAN SOUND
Franz Yosef Humplick 1927 2007
Frank Humplick with his guitar at his residence in Lushoto 2005
Frank Humplink in His Hey Days in Nairobi
Very few people...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.