MJUE FREDERICK DE KLERK 1936-2021
Mkombozi wa Afrika Kusini
Najua wajua lakini acha wanaojua kidogo wajue zaidi.
Ninataka umjue rafiki wa Waafrika weusi kwenye kundi la weupe wachache, watawala...
IFAHAMU HISTORIA YA ZIWA NYASA
Ziwa Nyasa (katika Malawi: Lake Malawi; katika Msumbiji: Niassa) ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki ikiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria Nyanza...
Wakati huo kuvuta cigar ilikua ni kitendo cha kawaida hasa kwa viongozi. Churchill anatoa cigar kwenye kifuko cha ngozi.
Lugha ya picha inaonyesha wote ni wenye furaha na hakuna wasiwasi.
Kanisa hili lilijengwa na wamissionari wa kanisa la Anglikana katika barabara ya Mkunazini mwaka 1903. Uwanja uliojengewa kanisa ndipo shughuli nyingi za uuzaji wa watumwa zilipofanyika. Kujengwa...
LAITI WATU HAWA WANGEANDIKA KUMBUKUMBU ZAO
Wengine tayari wameshatangulia mbele ya haki miaka mingi na wengine hivi karibuni na wengine bado wanaishi na nawaombe dua Allah awape umri mrefu...
KIVULI CHA KWAME NKRUMAH KATIKA TANU
Hayo maneno hapo chini yaliyoandikwa na Kwame Nkrumah nimeyaona hapa jamvini na yamenikumbusha ushawishi wake kwa wanasiasa wa Tanganyika wakati wa kudai...
RAJAB MATIMBWA MWANACHAMA NA MWANA KWAYA YA TANU 1954 NA MWANACHAMA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) 1977
Sijui kwanini siku zote ninapowataja wanachaa wa TANU ile ya mwaka wa 1954 huwa namsahau Rajab...
Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO
Address by His Excellency Robert Mugabe, President of the Republic of Zimbabwe at the General debate of the 67th Session of the
General...
KUMBUKUMBUKU ZA ''THEORETICIAN'' KHAMIS ABDULLAH AMEIR ZIKO UWANJANI
Haya ndiyo maajabu makubwa katika historia za Afrika kuwa wanaostahili kupewa sifa hawasifiwi wala hawapewi medali sifa...
TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956
Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa.
Nairejesha tena hapa jamvini safari...
Baada ya kumsoma Balozi Mpungwe nami nikaona nitie langu kumuunga mkono lakini si leo bali kurejea nyuma miaka mingi sana nikiwa na umri wa miaka 15 mwanafuzi wa sekondari:
Ujumbe mzito...
KURASA DARASA TBC1: UCHAMBUZI WA MAGAZETI, MAJARIDA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Leo nilikuwa na matembezi ndani ya mitaa na vichochoro vya Maktaba nikimzungusha Mtangazaji wa kipindi cha...
Wabelgiji waliweka watawala katika vijiji ambao walitumikia Ufalme wa Mfalme Leopold. Baadhi ya wake wa watawala hawa walikua na nguvu kubwa hasa katika jumuia ya wanawake. Mafano ni Malkia...
NKRUMAH'S CPP AND NYERERE'S TANU 1950s
Kwame Nkrumah and the Gold Coast as it was then known had a special place to us.
All of us in TANU including Nyerere were great admirers of Nkrumah on his...
AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA
Utangulizi
Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo...
Wanasiasa hufanya makosa mengi sana wakiwa madarakani. Wanapoyafanya huwa hawana uwezo wa kupima ukubwa na madhara ya wanachokusudia kukifanya. Ni pale wanapokuwa wanapokea lawama nyingi ndio...
NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA
Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi...
-----------------IN FACT----------------------
UNAFAHAMU KUWA URUSI ILIIUZIA MAREKANI JIMBO LA ALASKA?
ALASKA ni jimbo lililopo kaskazini-magharibi mwa bara la AMERIKA KASKAZINI,kwa upande wa...
WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA
Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi.
Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.