MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI
Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake.
Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa...
Je Wajua?
KABILA LA WAKURYA
Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za...
Dkt, John Joseph Pombe Magufuli ni mwalimu na mtalaamu wa kemia akiwa na Shahada ya Uzamivu (PhD).
Kuzaliwa
Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Katoma tarafa ya Bugando wilayani Geita jimbo la...
Miaka ya nyuma tuliona maandalizi ya hii siku kuanzia kwenye vyombo vya habari na hata viongozi wetu walikuwa wakilitaja hili jina kuanzia April mosi hadi siku kama ya leo kilele. Lakiini sasa...
Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.
Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya...
Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE
WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuzindua programu ya Maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa...
Wanabodi,
Huu ni utambulisho wa kipindi maalum cha Kumbukumbu ya Kifo cha Hayati Abedi Amani Karume, uliofanywa na Mtangazaji Festos Makerubi wa TBC-1 akiwa mjini Zanzibar.
Kuna makosa ambayo...
Mganda kiongozi wa kikosi cha Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati anampindua Mwarabu, Hayati Karume alikuwa Tanganyika amejificha. Okello aliongoza mapinduzi na akatangaza baraza la mapinduzi kisha...
Habari wakuu, nawasalim woote!
Jana usiku (March 08) katika kuangalia angalia updates za WhatsApp status nilistaajabu baada ya kukutana na video inayomuonesha (SAMAKI MTU) akiwa ufukweni na watu...
UMUHIMU WA ALLY MSHAM JINA LAKE KUPEWA MTAA ALIOISHI
Majina mengi ya mitaa imebadilishwa Dar es Salaam kwa sababu ya kuweka kumbukumbu za wapigania uhuru.
Pugu Road imebadilishwa jina na kuitwa...
Dunia imekuwa ikitawaliwa na viongozi wengi walio makatili na wanyama sana mfano.ukiachana na Hitler(1889-1945) kuna
1. Joseph Stalin(1878-1953)
2. Pol Pot (1925-1998)
3. Saddam Hussein...
Wakati wa Uhai wake, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuishi katika nyumba hii ikiwa ni baada ya kurejea nchini akitokea masomoni nchin Uingereza.
Huko alihitimu masomo yake na...
Ukifika mji mkuu wa italy Rome kuna jengo maarufu liko kama uwanja wa mpira linaitwa colloseum. Jengo hilo lilijengwa AD 70-80 kama miaka 1940 hivi iliyopita.
Maana yake ni kwamba baada ya...
Wanabodi,
Nimeikuta hii humu jf kwenye mjadala fulani hebu jisomee mwenyewe!.
Kwa mara ya kwanza Sheikh Abeid Karume alifunga ndoa na Bibi Pili binti Ahmed Ambari mwanzoni mwa miaka ya...
KAULIZA MUULIZAJI NANI SHEIKH BADI?
Sheikh Muhammad Yusuf Badi alikuwa sheikh maarufu Lindi na sehemu yote ya Jimbo la Kusini, yaani Southern Province.
TANU iliasisiwa Lindi mwaka wa 1955 tayari...
Frank and His Sisters LP
The world’s first collection of gorgeous pop songs from Frank and His Sisters, a family band from Moshi, Tanzania. Formed in the early 1950s by Frank Humplick, Thecla...
Nikikumbuka hii Movement huwa numia sana, ni bahati Mbaya sana Watanzania sisi hatuamini kwenye umoja na hii ndo changamoto kubwa sana inayo tukumbuka.
Hii movement ilikuwa na nguvu sana sema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.