Taarifa za kikachero za Special Branch 1950s

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,915
30,259
IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s

"Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952":

"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid Sykes has dispatched letters to all branches asking members for suggestions under the following heads for a memorandum to be prepared for the Royal Commission..."

...Abdul Wahid Kleist Sykes, Secretary of the African Association who, as reported in last month's summary (paragraph 20) was going on safari up country, visited Mwanza, where he met Paul Bomani, President of the Bukoba African Association, and accompanied him to Bukoba. Sykes then visited Kampala alone..."

Utaweza vipi kuandika historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika ukaacha taarifa kama hizi na wala usiwataje wahusika wa harakati hizi?

Hizi ni taarifa kutoka Rhodes House Library, Oxford zilizomo katika majalada ya kikachero ya Waingereza baada ya miaka 50 yanawekwa wazi kwa mtafiti yeyote kuyasoma na kufanya nakala akipenda.

Screenshot_20220515-144717_Facebook.jpg
 
Ndugu Mohamed Said, nikweli kabisa ya kwamba Maisha ya AbdulWahid Sykes yalijikita mno katika kupambania uhuru wa Tanganyika, hilo halina shaka ijapokuwa vilevile kutambuliwa kwake ni kwa uchache mno (walitambuliwa kama watu waliopambania uhuru na Mhe. Samia Suluhu na wengineo).

Lakini ndugu yangu katika Sheria ya Maisha ni wazi si wote kuwa watatambuliwa katika kusaidia jambo au kufanya jambo Hilo isipokuwa wale tu ambao labda naweza kuita bahati au labda kwa kazi kubwa waliyoifanya yenye kustaajabisha.(kwa Mfano walioshiriki Vita ya Maumau si wote wanaotambuliwa na watu mpaka Sasa isipokuwa watu wachache).

Kitendo cha wewe Kuandika kitabu kuhusu Hawa wapambania uhuru ni alama tosha ya kuwatambua kwao. Labda nikuulize swali ndugu yangu unataka watambuliwe kwa namna gani ambayo wewe unaona inafaa kufanywa ili uone ni sawa? Maana sioni sababu ya kuwa ati hawatambuliwi wakati tayari serikali imekwisha watambua japo ni kwa uchache wake. Tushukuru jitihada hizo pia
 
unataka watambuliwe kwa namna gani? umeshawatambulisha toka umeanza kuandika hapa jf na sisi tumeshawatambua. yes walipigania Uhuru the what?
 
The Republican,

Historia ya TANU ilifutwa yote.

Laiti kama nisingeandika historia hii historia ya kweli isingejulikana.

Kuwa historia hii itambuliwe vipi kwa sasa hilo halina maana.
 
Saja...
Nadhani umekusudia, ''...so what?''
Kwa Kiswahili umasema, ''Sasa ndiyo iwe nini?

Isiwe chochote ila ijulikane kuwa ilipitika khiyana na hasad ikafutwa historia ya kweli ikapachikwa historia siyo.
Faida ya kujua ukweli inasaidia kuelewa yale yaliyotokea baada ya uhuru pamoja na hili la kubadili historia.
 
Ndugu Mohamed Said, nikweli kabisa ya kwamba Maisha ya AbdulWahid Sykes yalijikita mno katika kupambania uhuru wa Tanganyika, hilo halina shaka ijapokuwa vilevile kutambuliwa kwake ni kwa uchache mno (walitambuliwa kama watu waliopambania uhuru na Mhe. Samia Suluhu na wengineo).

Lakini ndugu yangu katika Sheria ya Maisha ni wazi si wote kuwa watatambuliwa katika kusaidia jambo au kufanya jambo Hilo isipokuwa wale tu ambao labda naweza kuita bahati au labda kwa kazi kubwa waliyoifanya yenye kustaajabisha.(kwa Mfano walioshiriki Vita ya Maumau si wote wanaotambuliwa na watu mpaka Sasa isipokuwa watu wachache).

Kitendo cha wewe Kuandika kitabu kuhusu Hawa wapambania uhuru ni alama tosha ya kuwatambua kwao. Labda nikuulize swali ndugu yangu unataka watambuliwe kwa namna gani ambayo wewe unaona inafaa kufanywa ili uone ni sawa? Maana sioni sababu ya kuwa ati hawatambuliwi wakati tayari serikali imekwisha watambua japo ni kwa uchache wake. Tushukuru jitihada hizo pia
The Republican,
Vipi historia ya kweli itambuliwe ndiyo kama hivi tunajadili hadharani na kila mtu anatoa fikra zake.
 
The Republican,
Historia ya TANU ilifutwa yote.
Laiti kama nisingeandika historia hii historia ya kweli isingejulikana.

Kuwa historia hii itambuliwe vipi kwa sasa hilo halina maana.
Ni kweli mzee wetu na ndio maana mchango wako ninautambua vizuri. Jitihada zako ni wazi kwa kiasi flani zimezaa matunda katika kumbukizi za wapigania uhuru, kongole kwako mzee wetu. Ila nadhani ni wakati Sasa wa kutumia ujuzi wako katika maswala mengine ambayo yangeweza kutoa ushauri kwendana na muda. Miktadha hiyo labda inaweza kuangazia Tanzania mpya na si Tanganyika ama Zanzibar ambayo kimsingi vijana wengi hawaipi thamani yake(labda ni elimu au Kila zama na kitabu chake). Tunapenda kuona mawazo mapya ya kisasa na kisiasa zaidi ili tuzidi kujifunza. Ahsante
 
Sina ujuzi wa hayo mengine.

Mimi utafiti wangu ni katika political history ya Tanganyika.

Siwezi kuingilia somo nisilolijua.
 
Historia yako haina udhibitisho wowote....Imejikita kwa watu wa Dar Es Salaam tu.......Wakati wapigania uhuru walikuwa Tanzania nzima
Laki...
Uthibitisho ninao wala hili halina shaka.
Uthibitisho wa nyaraka na picha nimeweka hapa mara kadhaa.

Lakini hili lisikutaabishe hata ukisema kuwa huamini nilyoandika mim sina tatizo wewe kama msomaji una hak zako ambazo hakuna wa kukulazimisha uone atakavyo mwandishi.

Una haki zote ya kukikataa kitabu cha Abdul Sykes ukaamini vtabu vya Chuo Cha CCM Kivukoni na kitabu cha Abubakar Ulotu.

1652639257048.png
1652639321285.png
 
View attachment 2226128View attachment 2226130
Abdul Sykes hakuwahi kuitisha hata mkutano mmoja wa TANU.... Yeye muda mwingi yuko kariakoo kwenye biashara zake..Wakati huo Nyerere yuko bize full time kudai uhuru.
 
Laki,
Mikutano mingi ya siri ikifanyika nyumbani kwa Abdul Sykes na Nyerere akihudhuria.
TANU ilipoasisiwa mikutano yote ya hadhara ikihutubiwa na Rais wa TANU Julius Nyerere.

Hii ya Abdul Sykes alikuwa anashughulika na biashara zake Kariakoo wewe umeitoa wapi?

Biashara yake kubwa ya petrol station Mobil Oil ilikuwa Ilala Boma na aliyekuwa akiiendesha alikuwa mdogo wake Abbas Sykes.

1652649162421.png

Nyumba ya Abdul Sykes ambayo mikutano ya siri ikifanyika ni hiyo hapo juu na Nyerere alipoacha kazi ya ualimu alikuja kushi nyumba hii.

Nyu
1652649309397.png

Nyumba ya Abdul Sykes kama ilivyo hivi sasa.
 
Back
Top Bottom